Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

Wapumbavu ni wazazi wanaopeleka watoto kwenye hivyo vielimu vyao,
 
Tuanzishe dini ya Kitanzania, ya misingi ya Utu, Umoja na Upendo
 
Kwa nini? Dini ikiruhusu watoto wanywe pombe, wasiende shule au waolewe wakiwa wadogo serikali haitaingilia?
Mbona kwa uislamu kwenda shule si muhimu kama kwenda madrasa, nakuolewa ni muhimu zaidi akitimiza miaka 10.
 
Biblia ina vitu gani vya uwongo? Sazingine ni busara kukaa kimya
 
Hakua michafu?
 
Tuanzishe dini ya Kitanzania, ya misingi ya Utu, Umoja na Upendo
Haina ulazima kwani tayari tuna UTU, UMOJA na UPENDO kupitia kwa mila na tamaduni zetu za Kiafrika na Kitanzania. Kuamini hizi dini za kuletewa ni kuiga mila na tamaduni za watu wasiotuhusu, ni ujinga mtupu kuitosa mila yako kuamini ama kufuata mila za wengine.
 
Biblia ina vitu gani vya uwongo? Sazingine ni busara kukaa kimya
Umesoma Biblia lakini, huoni kama iko condradictory? Kweye amri ya Mungu inasema kutembea na mke wa mtu ni dhambi ila Wafalme walikuwa wanaua na kulala na wake za watu na bado watanzania wanazaa watoto na kuwaita hayo majina ya wafalme wabakaji. Mmoja wa wabakaji mashuhuri kwenye Biblia ni Mfalme Daudi, dini ndiyo inatulostisha sana Waafrika kiujumla....tumekuwa wajinga kupindukia kujiaminisha vitu visivyo na umuhimu maishani mwetu.
 
Kwetu Sisi Huo Utanzania Unaojaribu Kuuhubiri Wala Hauna Maana Yoyote Labda Maana Iliyoko Ni Kutaka Watu Wazaane Muwalipishe Kodi Na Tozo Za Hovyo Na Muwagawie Kofia Na Mavlana Ya Kijani Na Wengine Muwatumie Kuandamana Akina Afande Wapige Virungu Wajomba Zao.

Na Tukija Kwenye Uafrika Ndo Kabisa Ingekuwa Kuna Kuchagua Eneo La Kuzaliwa Kiasili Nadhani Wewe Ungekuwa Na Wenzio Msio dhidi Watano Tu Afrika Nzima Ndo Mngekuwa Waafrika.
 
Mkuu ulikuwa unakunya, mbona unachanganya mada? Malizia kunya kwanza, soma tena mada kisha rudi na hoja ya maana. ila usisahau kujichamba tafadhali.
 
Mkuu ulikuwa unakunya, mbona unachanganya mada? Malizia kunya kwanza, soma tena mada kisha rudi na hoja ya maana. ila usisahau kujichamba tafadhali.
Akili Yako Iko Ndo Kipimo Kilipofikia.Rudi Kwenye Komenti Yako Soma Tena Na Tena Na Tena

Mimi Nilikuwa Nakunya Ni Sawa Kabisa.
Ila Wewe Itakuwa Unafanywa Ile Michezo Ambayo Papa Amewaruhusu ila Mwambie Asikuzoeshe Hiyo Michezo Ya Ibilisi.
Nakutakia Kufilw.....kwema.
 
Sheikh anauliza kijana waishi wapi wewe anataka kuja kukutembelea usiku apate sunna.
 
Naona staha inaanza kuwa bidhaa adimu kwenye uzi huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…