Serikali inapoteza mapato huku

Serikali inapoteza mapato huku

Hao kampuni za simu kwanza wanachezeshwa ngoma wasioijuwa bila wao kujuwa

Tangu waliposema lazima uwe na kitambulisho cha taifa ndiyo usajili laini ya simu nilishajuwa lengo la serikali ni kupunguza watumiaji wa simu na nilijuwa watakaopata tabu ni kampuni za simu lakini kampuni hizi za simu hawakufahamu mtego huu

Walipozima simu feki pia yote hayo yalikuwa ni maandalizi ya kupunguza watumiaji wa simu

Kinachoshangaza wengi ni kuwa ccm imeshinda kwa kishindo lakini haijiamini

Hii inatuma picha ya moja kwa moja kwa watu kwamba huenda kweli hawakushinda kwa halali sababu kama wameshinda kwa halali wanaogopa nini?
 
labda usalama wa ccm siyo wa nchi

hapo mnawapa tu akili watanzania waamini kumbe intaneti ina nguvu kuliko chochote na siku nyingine wataitumia hiyo hiyo intaneti kufanya yao

kwa kawaida maandamano ya kupata uhuru au ya kuvunja ujinga kama huu wa kuzimiana intaneti huwa hayapangwi wala kuratibiwa wala hayahitaji intaneti bali utaona tu kimenuka
Kwa sababau ubongo wako una makamasi unadhani internet kwa ajili ya socia media tu. Kaa kimya kwani bila intanet unakufa?
 
Acheni kulialia mlamu, faida za makampuni zinakuhusu nini?
 
Kwa sababau ubongo wako una makamasi unadhani internet kwa ajili ya socia media tu. Kaa kimya kwani bila intanet unakufa?
wewe huna akili wala hujuwi ulisemalo

unaropoka yote haya sababu unatumia jina feki hapa jf. ingekuwa ni kule facebook unakotumia jina lako halisi wala usingeandika upumbavu huu maana wana tungekutafuta popote upewe jamba jamba

si ajabu internet yenyewe umeifahamu ukubwani

hakuna intaneti bila social media

hata hii jf asilimia 90 ya traffic yake wanategemea social media

kama hujuwi intaneti inafanya vipi kazi kaaa kimya

eti intaneti siyo social media tu kwa ujinga wako ndiyo unaamini hivi, sasa hao wenye tovuti wengine bila social media wanapata wapi traffic?

hata hii jf ni social media pia
 
wewe huna akili wala hujuwi ulisemalo

unaropoka yote haya sababu unatumia jina feki hapa jf

si ajabu internet yenyewe umeifahamu ukubwani

hakuna intaneti bila social media

hata hii jf asilimia 90 ya traffic yake wanategemea social media

kama hujuwi intaneti inafanya vipi kazi kaaa kimya

hata hii jf ni social media pia
Matumizi ya internet ni kwa ajili ya social media? Mpuuzi unaelalamikia upuuzi.
 
Nilikuwa nalipia bundle Smile la Tshs 34,500 , 10 GB, kwa mwezi.
Kwa mwaka karibia 414,000( au $178).
WAMEZIMA!

NIKAINGIA VPN.
Nimelipia KWA MWAKA $49.9!

Nawapongeza TCRA kwa kutufungua macho.
Waendelee kufunga data mitandao.
Means unafungua utumbo wako bila bando.
 
Matumizi ya internet ni kwa ajili ya social media? Mpuuzi unaelalamikia upuuzi.
sasa ni kwa ajili yanini? hapa jf ulipo na upumbavu wako ni social media pia. Kama intaneti siyo social media tu si uende huko kwenye blogs ukacomment mbona upo bize hapa jf ? wewe ni mpumbavu usiyejitambua

nchi zote wanazozima intaneti kuna udikteta na idadi kubwa ya watu ni wajinga na wapumbavu kama wewe hivi usiyejitambua
 
Kama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
Fungua ufahamu wako, Watumiaji wa ngapi wa mtandao wanaojua kuhusu vpn?
 
sasa ni kwa ajili yanini? hapa jf ulipo na upumbavu wako ni social media pia. Kama intaneti siyo social media tu si uende huko kwenye blogs ukacomment mbona upo bize hapa jf ? wewe ni mpumbavu usiyejitambua

ncni zote wanazozima intaneti kuna udikteta na idadi kubwa ya watu ni wajinga na wapumbavu kama wewe hivi usiyejitambua
🖕
 
Ndiyo nikae nipoteze muda wangu kujibizana na wewe?

nina uhakika 100 kwa 100 yote unayoropoka hapa ni kwa sababu unatumia jina feki hapa jf

hutaona nikikujibu tena wewe

ila ukae ukijuwa usifikiri wote tumeifahamu intaneti ukubwani kama wewe au wote ni wajinga kama unavyodhani wewe, au wote wanatumia simu kama wewe ili kuingia mtandaoni
 
Kwani smartphone sio kompyuta? Inaonyesha hata shule hamna ila unajifaragua tu. Ndio maana umekariri mtandao ni kwa ajili ya social media.
 
Kama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
Ni watu wangapi sasa wana access na hizo VPN?
 
Kwani smartphone sio kompyuta? Inaonyesha hata shule hamna ila unajifaragua tu. Ndio maana umekariri mtandao ni kwa ajili ya social media.
cheki ulivyo hujitambuwi, eti smartphone ni computer

ndivyo ulivyokaririshwa na wajinga wenzio kuwa smartphone ni computer

nimefuatilia majibizano yako mengi yanaonyesha wazi wewe huna lolote unalojuwa sema unapata mwanya wa kuropoka utakalo sababu unatumia jina feki

tangu lini simu ikawa kompyuta?

wewe ni chizi usiyejitambua

nimekuambia hata hii jf ni social media, mbona hujabisha hoja hii?

kakojoe ulale
 
Ni watu wangapi sasa wana access na hizo VPN?
Ni wizi wa kishamba wanaufanya

Inaonyesha huko ccm na serikalini kuna watu wengi hawana akili au wana akili za kizamani

Unapoficha hivi uhuru wa habari au kujieleza unatuma picha kwa watu kwamba wewe ni mwizi

Lama wameshinda kwa halali wanaogopa nini?

unaiba mchana kweupe ukionekana ndicho wanachokifanya

Wangeiba na kutulia tu wala hakuna mtu angeshtuka ila hii kuzimazima mtandao ni ishara ya wazi hawajiamini na matendo yao
 
cheki ulivyo hujitambuwi, eti smartphone ni computer

ndivyo ulivyokaririshwa na wajinga wenzio kuwa smartphone ni computer

nimefuatilia majibizano yako mengi yanaonyesha wazi wewe huna lolote unalojuwa sema unapata mwanya wa kuropoka utakalo sababu unatumia jina feki

tangu lini simu ikawa kompyuta?

wewe ni chizi usiyejitambua

nimekuambia hata hii jf ni social media, mbona hujabisha hoja hii?

kakojoe ulale
Mh...
 
Unaweza kuta unakadegree ka mlimani.
 
Kwa udhibiti huu wa Internet, mapato kwa makampuni ya simu yatashuka sana, hivyo kiasi cha kodi kushuka pia. Kwa sasa mobile companies wanauza sana data kuliko voice. So kwa kuwa siku hizi huwezi download chochote, wala huwezi angalia Online TV, pamoja na movies bundle halitumiki isipokuwa mpaka hayo ma-VPN sijui

Kimsingi watanzania wanasave, ila pia mapato ya Serikali yatapungua pia kwa sababu mauzo ya bundles yatashuka.

Nadhani kuna wanaoanza kuangalia uwezekano wa kulipia hizo VPN, hivyo mapato yatakwenda nje ya Nchi.

Naomba muendelee nilipoishia.
mimi natumia trial version. itakapo expire wakataka nilipie nitafanya hivyo.
 
Unaweza kuta unakadegree ka mlimani.
unafikiri kila mtu amesoma Tanzania kwa ufinyu wako wa kufikiri na ndiyo maana unasema smartphone ni computer!!!

nakushauri siku nyingine ukikuta wanaume wanajadili mijadala ya mhimu kama hii wewe jifanye msomaji tu usicomment chochote unajidhalilisha bila kujijua
 
Back
Top Bottom