Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wanaogopa na hawana pakusemeaSijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa na hawana pakusemeaSijaona kamapuni za simu zikilalamika kuhusu jambo hili, hii inamaana hawajaathirika kabisa na ufungwaji wa mitandao.
Kwa sababau ubongo wako una makamasi unadhani internet kwa ajili ya socia media tu. Kaa kimya kwani bila intanet unakufa?labda usalama wa ccm siyo wa nchi
hapo mnawapa tu akili watanzania waamini kumbe intaneti ina nguvu kuliko chochote na siku nyingine wataitumia hiyo hiyo intaneti kufanya yao
kwa kawaida maandamano ya kupata uhuru au ya kuvunja ujinga kama huu wa kuzimiana intaneti huwa hayapangwi wala kuratibiwa wala hayahitaji intaneti bali utaona tu kimenuka
wewe huna akili wala hujuwi ulisemaloKwa sababau ubongo wako una makamasi unadhani internet kwa ajili ya socia media tu. Kaa kimya kwani bila intanet unakufa?
Matumizi ya internet ni kwa ajili ya social media? Mpuuzi unaelalamikia upuuzi.wewe huna akili wala hujuwi ulisemalo
unaropoka yote haya sababu unatumia jina feki hapa jf
si ajabu internet yenyewe umeifahamu ukubwani
hakuna intaneti bila social media
hata hii jf asilimia 90 ya traffic yake wanategemea social media
kama hujuwi intaneti inafanya vipi kazi kaaa kimya
hata hii jf ni social media pia
Means unafungua utumbo wako bila bando.Nilikuwa nalipia bundle Smile la Tshs 34,500 , 10 GB, kwa mwezi.
Kwa mwaka karibia 414,000( au $178).
WAMEZIMA!
NIKAINGIA VPN.
Nimelipia KWA MWAKA $49.9!
Nawapongeza TCRA kwa kutufungua macho.
Waendelee kufunga data mitandao.
sasa ni kwa ajili yanini? hapa jf ulipo na upumbavu wako ni social media pia. Kama intaneti siyo social media tu si uende huko kwenye blogs ukacomment mbona upo bize hapa jf ? wewe ni mpumbavu usiyejitambuaMatumizi ya internet ni kwa ajili ya social media? Mpuuzi unaelalamikia upuuzi.
Fungua ufahamu wako, Watumiaji wa ngapi wa mtandao wanaojua kuhusu vpn?Kama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
🖕sasa ni kwa ajili yanini? hapa jf ulipo na upumbavu wako ni social media pia. Kama intaneti siyo social media tu si uende huko kwenye blogs ukacomment mbona upo bize hapa jf ? wewe ni mpumbavu usiyejitambua
ncni zote wanazozima intaneti kuna udikteta na idadi kubwa ya watu ni wajinga na wapumbavu kama wewe hivi usiyejitambua
Ndiyo nikae nipoteze muda wangu kujibizana na wewe?
Kwani smartphone sio kompyuta? Inaonyesha hata shule hamna ila unajifaragua tu. Ndio maana umekariri mtandao ni kwa ajili ya social media.Ndiyo nikae nipoteze muda wangu kujibizana na wewe?
nina uhakika 100 kwa 100 yote unayoropoka hapa ni kwa sababu unatumia jina feki hapa jf
hutaona nikikujibu tena wewe
ila ukae ukijuwa usifikiri wote tumeifahamu intaneti ukubwani kama wewe au wote ni wajinga kama unavyodhani wewe, au wote wanatumia simu kama wewe ili kuingia mtandaoni
Ni watu wangapi sasa wana access na hizo VPN?Kama unajidanganya wanapata hasara bas tambua huwez jiunga hyo vpn yako bila kua na bando la internet... So hakijaaribika kitu
cheki ulivyo hujitambuwi, eti smartphone ni computerKwani smartphone sio kompyuta? Inaonyesha hata shule hamna ila unajifaragua tu. Ndio maana umekariri mtandao ni kwa ajili ya social media.
Ni wizi wa kishamba wanaufanyaNi watu wangapi sasa wana access na hizo VPN?
Mh...cheki ulivyo hujitambuwi, eti smartphone ni computer
ndivyo ulivyokaririshwa na wajinga wenzio kuwa smartphone ni computer
nimefuatilia majibizano yako mengi yanaonyesha wazi wewe huna lolote unalojuwa sema unapata mwanya wa kuropoka utakalo sababu unatumia jina feki
tangu lini simu ikawa kompyuta?
wewe ni chizi usiyejitambua
nimekuambia hata hii jf ni social media, mbona hujabisha hoja hii?
kakojoe ulale
Unaweza kuta unakadegree ka mlimani.cheki ulivyo hujitambuwi, eti smartphone ni computer
ndivyo ulivyokaririshwa na wajinga wenzio kuwa smartphone ni computer
nimefuatilia majibizano yako mengi yanaonyesha wazi wewe huna lolote unalojuwa sema unapata mwanya wa kuropoka utakalo sababu unatumia jina feki
tangu lini simu ikawa kompyuta?
wewe ni chizi usiyejitambua
nimekuambia hata hii jf ni social media, mbona hujabisha hoja hii?
kakojoe ulale
mimi natumia trial version. itakapo expire wakataka nilipie nitafanya hivyo.Kwa udhibiti huu wa Internet, mapato kwa makampuni ya simu yatashuka sana, hivyo kiasi cha kodi kushuka pia. Kwa sasa mobile companies wanauza sana data kuliko voice. So kwa kuwa siku hizi huwezi download chochote, wala huwezi angalia Online TV, pamoja na movies bundle halitumiki isipokuwa mpaka hayo ma-VPN sijui
Kimsingi watanzania wanasave, ila pia mapato ya Serikali yatapungua pia kwa sababu mauzo ya bundles yatashuka.
Nadhani kuna wanaoanza kuangalia uwezekano wa kulipia hizo VPN, hivyo mapato yatakwenda nje ya Nchi.
Naomba muendelee nilipoishia.
unafikiri kila mtu amesoma Tanzania kwa ufinyu wako wa kufikiri na ndiyo maana unasema smartphone ni computer!!!Unaweza kuta unakadegree ka mlimani.
Mkuu mi sijajua bando wala data package, ila nina browse, very fast!+ Bundle la internet kutoka kwa ISP wako...Au vpn unayotumia wewe wanakupa na package ya data?