Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Hoja imekuja kwamba hakuna mtanzania mwenye udambwi udambwi kama huu, huyu kijana afanyiwe uchunguzi ijulikane kama ni raia wa senegal au ivory coast au brazil basi alipiwe zile ada wanazolipiwa wachezaji wa kigeni serikali iiskose mapato kizembe

 
Fei-Toto a.k.a Bujibuji ni raia wa πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡· kwa kina Ronaldinho Gaucho
 
Baba takwimu zinaongea hebu nambie kafunga ngapi ka assist ngapi na Mugalu kafunga ngapi ka assist ngapi. Tuanzie apo kwanza tujue nani wakawaida.. tuzungumzie msimu 2020-2021.
Kabla takwimu hazijaanza kuongea tuambine wanacheza nafasi sawa?
 
Unaweka mizaha ndo tatizo, ukienda kwa takwimu Mugalu kanufaisha pakubwa timu yake kwa msimu wa 2020/2021alifunga magoli mengi na assist kuliko fei toto japo wanacheza nafasi tofauti.
tufanye kubadilisha fei akacheze 9 na mugalu akacheze kiungo tuone.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸΎ

Hapo ndipo na mafuta vitakapojichuja
 
Mugalu atacheza kiungo vizuri sana.

Nimesema Fei toto ni mzuri ila siyo kama mnavyomkuza sasa, anahitaji kujifunza zaidi. Ni mchezaji mzuri ajaye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…