Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

Dharau ipi mkuu?
Chama aliweza kupambana sana hata CAF CL ana rekodi nzuri za assist na magoli, ukiulizwa kwa misimu mitatu Feisal anaweza kufikisha magoli 20+ na assist 30+? (Mashindano yote)

Attacking midfielder akishindwa kufikisha takwimu kama hizo kwa misimu mitatu anahitaji kujirekebisha sana.

Kwa Yanga hamuwezi kuona pungufu lolote kwa sababu furaha imezidi mpaka kwenye nywele.
Chama hayo 20+ alikuwa nayo.
Haya leta mzawa wa kwenu mwenye record kama za Fei kwa nafasi ileile.
Fanya chapu.
 
Na mkome maneno yenu ndo yaliwaponza munazani ground ni parahisi.
 
Acha maneno ya kike, fanya uchambuzi.

Wanaume hatutumii hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, na bado.
Nimekuambia nipe record za mchezaji mzawa kwa nafasi ya Fei ambaye atamzidi unaleta hasira za kupasuliwa jmosi.
Na mtapasuka sana.
 
Chama hayo 20+ alikuwa nayo.
Haya leta mzawa wa kwenu mwenye record kama za Fei kwa nafasi ileile.
Fanya chapu.
Nenda mtibwa sugar, KMC, Dodoma jiji n.k, kuna madogo wana takwimu bora zaidi ya huyo Iniesta wa utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuanazungumzia Mikia na Uto,yupo wa kumzidi?
 
'kale kajamaa sio bure kanatumia ndumba'.... Nimemnukuu shabiki mmoja wa moo spoti klabu
 
Back
Top Bottom