Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaMugalu atacheza kiungo vizuri sana.
Nimesema Fei toto ni mzuri ila siyo kama mnavyomkuza sasa, anahitaji kujifunza zaidi. Ni mchezaji mzuri ajaye!
Ko kipindi una mfananisha ulikuwa hujui kama hawachezi nafasi sawa?.. au hujaelewa tulipoanzia mkuu.Kabla takwimu hazijaanza kuongea tuambine wanacheza nafasi sawa?
Shida kaka unaongea mpira mwenzako anaongea Mapenzi binafsi. Hapo mtageuka Waha.Mugalu atacheza kiungo vizuri sana.
Nimesema Fei toto ni mzuri ila siyo kama mnavyomkuza sasa, anahitaji kujifunza zaidi. Ni mchezaji mzuri ajaye!
Hivi huyu fei ni usajili mpya pale utopolo?Fei ni mzuri ila siyo kama mnavyomkuza
Wa Mugalu na Kanuti unafaida kwa janaUtopolo wanapagawa na udambwi udambwi usio na faida mara pengine.
Attacking midfielder hatari ni kama Chama, anamaliza msimu anagoli zaidi ya 10(isipokuwa msimu ulioisha alipatwa msiba) na assist 15+, that is a real meaning of an attacking midfielder.
Ndiyo maana nasema Feisal anahitaji kujifunza zaidi ili awe bora, bado hajawa na ubora halisi.
Mapungufu ya Mugalu na Kanoute hayawezi kumfanya Feisal kuwa Kevin De BruynWa Mugalu na Kanuti unafaida kwa jana
Ni taabu sana hawa watu waliopitwa na mahaba.Shida kaka unaongea mpira mwenzako anaongea Mapenzi binafsi. Hapo mtageuka Waha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uachage dharau mpira mpira unadunda.Mapungufu ya Mugalu na Kanoute hayawezi kumfanya Feisal kuwa Kevin De Bruyn
Wanamapungufu wote japo yanatofautiana.
Dharau ipi mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uachage dharau mpira mpira unadunda.
Dribbling zake ni nzuri.Fei ni mzuri ila siyo kama mnavyomkuza
Mamelodi na Zamalek hadi magoti walipiga, injinia akawambia Fei Is Not For Sale.Ana ofa yoyote toka timu za nje?.?
Uahaona wapi mchezaji akapewa tuzo kwa mechi moja?Ni taabu sana hawa watu waliopitwa na mahaba.
Msimu uliyopita Feisal hakufikisha hata assist 7 na goli hakufikisha hata 5, kwa attacking midfielder ni mapungufu makubwa sana.
Huyu Mugalu na upuuzi wake alikuwa na goli 15 na assist kama 6 hivi.
Japo hawapo nafasi sawa, kwa takwimu hilo limgalu libovu limemzidi attacking midfielder tegemezi huyo wa timu kwa kuhusika katika magoli.
Kwa maajabu yapi ya kumuweka kwenye ramani ya AfrikaMamelodi na Zamalek hadi magoti walipiga, injinia akawambia Fei Is Not For Sale.