Serikali inapoteza mapato kwa Feitoto

Chama hayo 20+ alikuwa nayo.
Haya leta mzawa wa kwenu mwenye record kama za Fei kwa nafasi ileile.
Fanya chapu.
 
Na mkome maneno yenu ndo yaliwaponza munazani ground ni parahisi.
 
Acha maneno ya kike, fanya uchambuzi.

Wanaume hatutumii hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, na bado.
Nimekuambia nipe record za mchezaji mzawa kwa nafasi ya Fei ambaye atamzidi unaleta hasira za kupasuliwa jmosi.
Na mtapasuka sana.
 
Chama hayo 20+ alikuwa nayo.
Haya leta mzawa wa kwenu mwenye record kama za Fei kwa nafasi ileile.
Fanya chapu.
Nenda mtibwa sugar, KMC, Dodoma jiji n.k, kuna madogo wana takwimu bora zaidi ya huyo Iniesta wa utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda mtibwa sugar, KMC, Dodoma jiji n.k, kuna madogo wana takwimu bora zaidi ya huyo Iniesta wa utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuanazungumzia Mikia na Uto,yupo wa kumzidi?
 
'kale kajamaa sio bure kanatumia ndumba'.... Nimemnukuu shabiki mmoja wa moo spoti klabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…