Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero.

Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
 
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.

Tangia awamu ya 5 wanaitwa wapiga kura wao
 
Hizo ndio ajira zenyewe wametengenezewa, kwa ufupi kila kampuni inatakiwa kua na wafanyakazi watano kila stand wawili wakae ofisini na watatu wawe nje ya ofisi kuelekeza abiria, wengi wa wapiga debe kama sio watumiaji au wauzaji wa madawa ya kulevya basi niwawezeshaji biashara ya magendo kwenda sehemu mbalimbali
 
Wapiga debe siyo wote ni wezi mkuu!
Kama tatizo ni wizi hata makanisani kuna wezi.
 
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
Mfumo mbovu kwa nchi yako.

Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Kuna agizo naona limekwama la tiketi zinunuliwe kwa mtandao, naona limeshindikana ila kwenye majaribio liliwezekana.
 
Back
Top Bottom