Isingelikuwa chimbo la watu,hili jambo dogo sana. Kuanzia ngazi za wilaya,maeneo ya serikali yanatambulika. Ni kuyapima,yapewe namba,maeneo ya raia yapimwe,yapewe namba na hati. Mnunuzi akiridhia,aangalie mtandaoni data zote,alipie akijua ni halali. Sema tu watu wengine wanapenda mtelezo.
Hivi,wale wa spika barabarani,wanajiita Viwanja Kiluvya. Wao wanasomeka?
Hivi,wale wa spika barabarani,wanajiita Viwanja Kiluvya. Wao wanasomeka?