Zifuatilie mpaka wilayani na wizarani haraka sanaKwa hiyo mkuu, hii imeenda siyo?
Ninaheka zangu 16 kule!
Shukrani sana mkuu
Gusa? Unate sio kila mmoja anayo elimu ya kununua viwanjaIsingelikuwa chimbo la watu,hili jambo dogo sana. Kuanzia ngazi za wilaya,maeneo ya serikali yanatambulika. Ni kuyapima,yapewe namba,maeneo ya raia yapimwe,yapewe namba na hati. Mnunuzi akiridhia,aangalie mtandaoni data zote,alipie akijua ni halali. Sema tu watu wengine wanapenda mtelezo.
Hivi,wale wa spika barabarani,wanajiita Viwanja Kiluvya. Wao wanasomeka?
Ni kweli,lakini si kwamba serikali haielewi kwamba kuna wananchi wanateswa. Hivyo,ingeweka muongozo,hata kama ingesitisha kwa mda,wakati inalishughulikia.Gusa? Unate sio kila mmoja anayo elimu ya kununua viwanja