Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

Dah inasikitisha sana na watu wetu inaonekana wana uwezo mdogo sana.

Aliko Dangote analia hujuma anazofanyiwa na wahuni kwenye tasnia ya mafuta kukihujumu kiwanda chake za oil refinery pale Nigeria.

Kupata muwekezaji wa kiwanda cha General Tyre inaweza ikawa ngumu sana, maana importer wa matairi kama Michelin, bridgestone, all Chinese tyres and Indians Tyre s lazima waingie kazini kuhujumu maana kwa sasa hapa kwao ni heaven in super profit.
 
Hapa umedhihirisha tu kwamba shule hukwenda, serikali inatafuta muwekezaji,we unahororoja serikali iangalie kwa nini kilikufa,hayo ni ya muwekezaji
Bado tunarudi palepale.
Ukiwa uko na Assets ukashindwa kuiendesha kisha ukamuita mtu mwingine aendeshe kwa mikataka ya kinyonyaji means uwezo wako ni mdogo sana.
 
Ukikuta mpira unavunwa pale kilombero mang'ula utaona huruma kwmba nikiwanda au uchuro,halmashauri kilombero wameamua wakodishe mashamba walime mpunga wananchi
 
Back
Top Bottom