Bhaghosha
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 234
- 183
Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya mapingamizi clear yatakataliwa, ni Chadema sasa iwaagize wagombea na wafuasi wao kwenda kusubiria matokeo yarufaa zao. Matokeo watakayo yapata ndiyo itakuwa kiwashio kuanza kuilazimisha selikali kutenda haki (Kuilazimisha). Iwe coordinated lianze kwa mpigo nchi nzima.
\
\