Tunasherehekea kufufuka kwake. Una swali jingine? Kilangila.First things first, kwa nini ni lazima tusherehekee pasaka?
Tunasherehekea bwana kusulubiwa ?
Wale wajuba wa mbeya waliochinja mbuzi walikua wanatimiza andiko ila mamwela waliowadaka inaonekana walikua wapaganiWanasema kuna sherehe tatu.
Kuzaliwa,ndoa na kufa. Unahitaji maelezo zaidi
Yaani serikali inahangaishana na watu kwenye mambo ya imani.Wale wajuba wa mbeya waliochinja mbuzi walikua wanatimiza andiko ila mamwela waliowadaka inaonekana walikua wapagani
Kuwe na hoja yenye mashiko kwenye hili sio zisisheherekewe eti kisa msiba ambao tumeshaanza kusahauFirst things first, kwa nini ni lazima tusherehekee pasaka?
Tunasherehekea bwana kusulubiwa ?
Mkuu ni sherehe au Maadhimisho?First things first, kwa nini ni lazima tusherehekee pasaka?
Tunasherehekea bwana kusulubiwa ?
Ndio, maana bila yeye kukubali kusulibiwa tusingepata wokovu. Kwa hiyo kifo cha Yesu ni furaha kubwa kwa wenye dhambi na waliofungwa na kila aina ya uonevu wa shetani - ni UKOMBOZI!!First things first, kwa nini ni lazima tusherehekee pasaka?
Tunasherehekea bwana kusulubiwa ?
KIBURI CHA FARAO kina mwisho wake, mapigo 10 tu atakaa chini.Wakuu hebu tujadili hili.
Serikali imetoa wito kutoskia shamrashamra za sikuku ya pasaka mwaka huu tofauti na miaka mingine kisa bado tupo kwenye maombolezo.
Je, Swali kwa serikali inamaana hawakuona zile kelele na shamrashamra Bungeni baada ya jina la Philipo Isdor Mpango kupendekezwa na mama Samia?.
Yaani wao walisherekea Jina tu, je sisi swala la kidini kwa nini waingilie kati.
Tuchangie mawazo wanandugu