Serikali inavyo piga marufuku shamrashamra za Pasaka, hawakuona kelele mule Bungeni?

Serikali inavyo piga marufuku shamrashamra za Pasaka, hawakuona kelele mule Bungeni?

Jamaa kaniambia wamezuia sherehe za pasaka nikamwambia leo ni siku ya wajinga hilo haliwezi tokea. Kumbe ni kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndio, maana bila yeye kukubali kusulibiwa tusingepata wokovu. Kwa hiyo kifo cha Yesu ni furaha kubwa kwa wenye dhambi na waliofungwa na kila aina ya uonevu wa shetani - ni UKOMBOZI!!
Siyo kifo chake, Ni kufufuka kwake, na ndiyo maana hatusherehekei siku ya ijumaa Wala jumamosi.
 
Back
Top Bottom