Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Apr 1, 2021 #41 Jamaa kaniambia wamezuia sherehe za pasaka nikamwambia leo ni siku ya wajinga hilo haliwezi tokea. Kumbe ni kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamaa kaniambia wamezuia sherehe za pasaka nikamwambia leo ni siku ya wajinga hilo haliwezi tokea. Kumbe ni kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
Quaresma Fai JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 590 Reaction score 630 Apr 2, 2021 #42 Emmanuel Kasomi said: Serikali ituache kidogo kwa hili Click to expand... .... Itusahau kidogo.
Quaresma Fai JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 590 Reaction score 630 Apr 2, 2021 #43 mhandisi_1 said: Ndio, maana bila yeye kukubali kusulibiwa tusingepata wokovu. Kwa hiyo kifo cha Yesu ni furaha kubwa kwa wenye dhambi na waliofungwa na kila aina ya uonevu wa shetani - ni UKOMBOZI!! Click to expand... Siyo kifo chake, Ni kufufuka kwake, na ndiyo maana hatusherehekei siku ya ijumaa Wala jumamosi.
mhandisi_1 said: Ndio, maana bila yeye kukubali kusulibiwa tusingepata wokovu. Kwa hiyo kifo cha Yesu ni furaha kubwa kwa wenye dhambi na waliofungwa na kila aina ya uonevu wa shetani - ni UKOMBOZI!! Click to expand... Siyo kifo chake, Ni kufufuka kwake, na ndiyo maana hatusherehekei siku ya ijumaa Wala jumamosi.
U Uttarra JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 468 Reaction score 783 Apr 2, 2021 #44 Emmanuel Kasomi said: Wanasema kuna sherehe tatu. Kuzaliwa,ndoa na kufa. Unahitaji maelezo zaidi Click to expand... Kina nani hao wanasema, za kuambiwa changanya na zako!
Emmanuel Kasomi said: Wanasema kuna sherehe tatu. Kuzaliwa,ndoa na kufa. Unahitaji maelezo zaidi Click to expand... Kina nani hao wanasema, za kuambiwa changanya na zako!
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Apr 2, 2021 Thread starter #45 Uttarra said: Kina nani hao wanasema, za kuambiwa changanya na zako! Click to expand... Duh haya bana. Ila serikali ituache kidogo
Uttarra said: Kina nani hao wanasema, za kuambiwa changanya na zako! Click to expand... Duh haya bana. Ila serikali ituache kidogo