Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

Kwa hali hii labda corona iamue kufungasha virago yenyewe.

Kwa jinsi wanavyolala kwa distance kuambukizana nje nje!pale jpm hostel kila mtu na room yake ingawa kuna vitanda 4,changamoto ya watu waliokua wanalalamikia vyoo vya kushare na nasikia kwa % flan hiyo changamoto imerekebishwa
 
Hapo ni sawa na sehemu ya kutengeneza maambukizi mapya.
Kwa jinsi wanavyolala kwa distance kuambukizana nje nje!pale jpm hostel kila mtu na room yake ingawa kuna vitanda 4,changamoto ya watu waliokua wanalalamikia vyoo vya kushare na nasikia kwa % flan hiyo changamoto imerekebishwa
 
Hivi ni nani alituwekea mpaka kule Kaskazini mwa Tanzania?!

Hawa jamaa ni ndugu zetu kabisa hawa... toka nitoke!!
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa watu wote 50 waliotoroka kutoka kwenye kituo cha karantini cha watu wanaoshukiwa kuwa na virusi vya corona mjini Nairobi watakamatwa tena na kurejeshwa tena kwenye vituo hivyo ili waendelee kujitenga kiufuatia mlipuko wa Corona.

Akizungumza na kituo kimoja cha redio nchini Kenya, Bw. Kenyatta amesema: ''Tutawatafuta watu wote 50 waliotoroka kituo cha karantini na kuhakikisha wanajitenga kutokana na mlipuko wa Covid -19 wa virusi vya corona''.
 
Kwa hali hii labda corona iamue kufungasha virago yenyewe.

Na ndio nilimwambia mwenzako pale juu ya kwamba wale anaosema wanatoroka asidhani wote ni positive bali ni wale wameshikwa kwa kukiuka masharti ya serikali. Huku ukipatikana nnje masaa za curfew jua karantini ni lazima kwa gharama zako halafu unashtakiwa. Wanaotoroka ni kwa ajili ya adhabu inayowangojea na haina uhusiano wowote na kutotaka kupimwa ugonjwa.
 
Wengi wao watakimbilia upande wa TZ,ulinzi kwenye chocho zote za karibu na hao jamaa zio gezewe ulinzi
 
Lakini vipi kama katika hao waliototoka kuna mmojawapo ambaye tayari alisha ambukizwa!
Huoni inakuwa tayari kasha waambukiza wengine hususan hao aliowekwa nao quarantine?
 
Kwa hali hii labda corona iamue kufungasha virago yenyewe.

Na ndio nilimwambia mwenzako pale juu ya kwamba wale anaosema wanatoroka asidhani wote ni positive bali ni wale wameshikwa kwa kukiuka masharti ya serikali. Huku ukipatikana nnje masaa za curfew jua karantini ni lazima kwa gharama zako halafu unashtakiwa. Wanaotoroka ni kwa ajili ya adhabu inayowangojea na haina uhusiano wowote na kutotaka kupimwa ugonjwa
Lakini vipi kama katika hao waliototoka kuna mmojawapo ambaye tayari alisha ambukizwa!
Huoni inakuwa tayari kasha waambukiza wengine hususan hao aliowekwa nao quarantine?
Kila hatua na changamoto moto zake. Huku tuko na udhaifu wetu, lakini licha ya hayo tutang'ang'a kadiri ya uwezo. Hatuwezi achia. Tiyari wamepewa makataa wajisalamishe kwa hiari laa sivyo watafutwe na vyombo vya usalama.
 
jamaa wana upumbavu fulani hivi.
Vizuri umekiri kuwa nchi yenu ni ya wapumbavu
Hao watu 50 wanaenda kuimwaga corona kikombaa huko,kila mtu mmoja ana uwezo wa kuambumiza watu 800,ndani ya daki 5
Mikenya ni mijitu ya ajabu sana
 
Vizuri umekiri kuwa nchi yenu ni ya wapumbavu
Hao watu 50 wanaenda kuimwaga corona kikombaa huko,kila mtu mmoja ana uwezo wa kuambumiza watu 800,ndani ya daki 5
Mikenya ni mijitu ya ajabu sana
 
Kwa kupenda udaku haujambo,
Hiyo video ndio uthibitisho?
Recorded voice ambayo hata mimi naweza kurekodi uwongo na kuusambaza,
Post video ikionesha wakitoroka tuone na sio kupost sauti zilizorekodiwa,
Kwa hiyo vioo vilivyo vunjwa ndio hizo kwa hiyo pic kwenye hiyo video 😂
Embu angalia hii picha kwenye hii link kisha uangalie hiyo iliyowekwa kwenye hiyo video.
https://m.facebook.com/Amanahospitalkuttiyadi/
 
Mtu aliweka picha university haina maji akashikwa, i wonder akieka about corona vile atafanywa, hata jana igp ameambiwa atafute watu wenye wanaspread news, nyinyi na north korea hmna tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda namna mnavyo angaika kumfuatilia Jpm badala ya kushughulika na matatizo tenu,
Kwa hiyo wapotoshaji waachwe tu waendelee kupotosha na kudanganya?
Kenya pia mtu alirekodi lile tukio la ndege kutoka china kuingia Kenya akashikwa,
Na nyie hamna tofauti na north korea?
 
Mtu aliweka picha university haina maji akashikwa, i wonder akieka about corona vile atafanywa, hata jana igp ameambiwa atafute watu wenye wanaspread news, nyinyi na north korea hmna tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo imetisha sana kama ni kweli jamaa wanaikimbia hospitali, binafsi licha ya ligi zetu naomba isiwe kweli, ila hawa jamaa walivyo ni vigumu sana kujua ipi kweli au la. Ukienda kwenye JF jukwaa la siasa ndio utashangaa, kunao wanasema wana ndugu kabisa waliozikwa kimya kimya bila wao kuhusishwa.
Kuna huyu mpaka kaweka majina kabisa...

wa-tz in watu was ajabu sana, wanaiponda Kenya na kwao kunawaka moto!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…