Serikali inaweza kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi unaoikuta nchi kila Januari?

Serikali inaweza kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi unaoikuta nchi kila Januari?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Habari wakuu. Kawaida ni jukumu la serikali kukabiliana na mdororo wa uchumi haijalishi kilichosababisha. Sasa nchi yetu karibu kila mwezi wa january hupatwa na mdororo wa uchumi. Kwa wengine kurevover huchukua hadi miezi miwili maana huingia kwa wakopesha riba wa vichochoroni nk.

Sasa hili ni tatizo na ni ujinga kuliacha liendelee na kama kulishangilia hivi. Serikali(hasa wizara ya fedha)inatakiwa kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi ambao hutokea mwezi january?
 
Back
Top Bottom