Serikali inayokuja isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiri

mahitaji ya ma daktari yapo ila uwezo wa kuwalipa ni mdogo
 
Sawa Mkuu.
 
Kusoma Ni Haki ya kila mwanachi..na serekali kusomesha Ni wajibu wake..elimu haianzii chuoni..INAMAANA Watu waishie elimu ya msingi...au kwanzania huko msingi wawe wanaandaliwa Watu 1000 TU? Wakuwa madoctor..

Kusoma ni haki ya kila mwanachi yes,

na ni haki ya kila anaesomeshwa na serikali kupata ajira,

..kama serikali inahitaji madaktari 1000 then wasomeshe 1000,

tatizo la ajira kutopatikana halitakuwepo kwa watu hao waliosomeshwa na serikali(madaktari)

na kama litakuwepo ni kwa asilimia chache.

..kumsomesha mtu again, kwa miaka mitano umempotezea muda na costs nyingine...halafu aone alipoteza vitu vyote hivi for nothing...

..Mfano wako wa shule ya msingi, sidhani kama umeielewa hii mada,

Au ni mimi sijakuelewa...

.. wewe kama mwanao anataka kuwa daktari wewe kama mzazi mkazanie awe mmoja ya hao watu 1000,...( kama anataka kusomeshwa na serikali ofcourse)...Na kama ameshindwa then achague fani nyingine au aende private....Kusomeshwa na serikali NO!

Pia,sijui kama kuna serikali ulimwenguni ambayo inaweza kuwachukua wanafunzi wote na kuwalipia kila kitu,transportation,fees etc..

na kwa serikali za kiafrica ndio kabisaa,

limited budget inatupasa tutumie resources zetu vizuri...moja wapo ni kutosomesha watu wasio kuwa na mchango wowote katika jamii pindi wanapomalize shule
 

Nimekuelewa mamiii...😀
 
Ndio ni Maana nikaona nicheke tuu Mimi [emoji23][emoji23]

Mbaya zaidi Wapainzani wenzake wanaunga tuu tella kwakua tuu ni Mwenzao
Atakuwa ana matatizo ya kuona mbali [emoji23][emoji23] aende hospital akapew miwan

Inabidi tujifunze kwa wanaijeria na wahindi wale jamaa wana population kubwa na wengi wamesoma ila mzigo wanaoupiga kila mahali dunian utawakuta wanatafuta kaz za proffesional zao
 

Mnhh unalinganisha na wanaigeria, hao scammers wanafanya kazi gani proffessional ?labda wahindi....
 
Ndio ni Maana nikaona nicheke tuu Mimi [emoji23][emoji23]

Mbaya zaidi Wapainzani wenzake wanaunga tuu tella kwakua tuu ni Mwenzao

Wewe unajua sana kinachoongolewa humu,ila kwa kuwa ni mwanasiasa unayaweka mambo kisiasa...mbona hili ni jambo ni la kushauri serikali 'yako',....

hujaitwa humu,

..eti 'wapinzani wenzake' hovyoo...

..nilishakuambiaga kama humpendi mtu au mada zake..muweke kwenye ignore list,simple
 

Again, usifananishe degree za wanaigeria, wao wengi wao utakuta daktari/engineer anabeba box, degree zao na wao ziko useless nje ya mipaka yao..hili la kusomesha vitu irrelevant ni janga la Africa
 
Aliyekuzuia kusoma nani?? kama wewe ni msomi,utajua serikali imekurupuka, ofcourse as a nation we are not rich but hey those limited resources should be better allocated..!
Uwe unasoma unaelewa, tatizo umesoma shule za kata. Sijasema kwamba nimezuiwa kusoma. We vipi ?
 

Mbona unakuaga na maneno machafu Sana wewe??, Ukipingwa post zako unakua na mdomo sana kwanini ??

Kwahiy mtu akikupinga ndio hakupendi ???Nishakuweka ignore list mda mrefu kama ulivyotaka
 
Sio rahisi kukadiria kitu ambacho ni DYNAMIC kuna kustaafu, kufa, kuacha kazi, kubadili kazi, kujiajiri na mambo mengine mengi
 
Serikali inayokuja ni hii hii ya jembe toka Chato. Babalao
 
I doubt hoja yako ina mashiko, serikali inahitaji madaktari 1000, so isomeshe 1000? Jaribu tena kufikiria, huenda ukaona hoja yako haina mashiko kwa asilimia kubwa.
 
Dah ,halafu kuna miandiko just once ushamfahamu mwandishi![emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…