Serikali inayokuja isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiri

Mnhh serikali ina uwezo wa kuajiri WOTE kama ikiwa makini katika selection zake...hivi nyie mnaona sawa watu warundikane mtaani wakiwa na dash hopes?? .....in average mtanzania anaingia kwenye official employment akiwa na miaka 34,hii ni almost ten years baada ya ku graduate, hivi mnadhania hii miaka kumi yote huyu mtu hali? havai????... its good ulaya wanaosoma wanapanga kufungua kampuni zao..ila hii inatokana na structure ya elimu yao ndio inaibua hivi vipaji na sio number ya watu waliokua enrolled vyuoni..imagine pamoja na kuwaza kufungua kampuni zao..bado wana SHORTAGE ya madaktari/nurses na walimu...ndio itakua sisi nchi yetu yenye resources chache?
kwani ukifanyakazi taasisi binafsi kuna ubaya gani alafu graduates wote mnataka kulundikana dar ikitokea kazi katavi hamtaki kwenda kwanini
 
Habari JF...

Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..

Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..

Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,

Ni hivi;

Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-

then,

Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.

Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa

Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..

Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,

Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol

The same method goes to walimu,na fani nyingine...

Karibuni

Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...

Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...

Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
kuna ngos
 
Mnhh serikali ina uwezo wa kuajiri WOTE kama ikiwa makini katika selection zake...hivi nyie mnaona sawa watu warundikane mtaani wakiwa na dash hopes?? .....in average mtanzania anaingia kwenye official employment akiwa na miaka 34,hii ni almost ten years baada ya ku graduate, hivi mnadhania hii miaka kumi yote huyu mtu hali? havai????... its good ulaya wanaosoma wanapanga kufungua kampuni zao..ila hii inatokana na structure ya elimu yao ndio inaibua hivi vipaji na sio number ya watu waliokua enrolled vyuoni..imagine pamoja na kuwaza kufungua kampuni zao..bado wana SHORTAGE ya madaktari/nurses na walimu...ndio itakua sisi nchi yetu yenye resources chache?
Marekani work force on over 150m wanaoajiriwa na serikali ni milioni 9. Unadhani wao wameshindwa kuajiri wote milioni 150 au hawawezi!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
And that is exactly my point,out of 150 m, only 9M ndio wanakua employed na serikali..because this is what government can afford wengine waende private, naomba nikuulize je serikali ya marekani iliwasomesha hao wote 150M people?
 
Kwa nini unasema hivyo...???
Kusema serikali isomeshe idadi ya watu inaoweza tu kuwaajiri tu si jambo la busara hata kidogo. Wakati sasa hv tunalalama kwanini serikali inakopesha wanafunzi wachache badala ya kukopesha wote wewe nawe unakuja na hii mada ya kukandamiza kabisa.
~Tunahitaji kuwa na taifa la watu walioelimika na wenye ujuzi, itasaidia kutumia ujuzi na maarifa waliyopata kwenye elimu kujitengenezea ajira bila kutegemea serikali
~Kuna ajira sekta binafsi na nje ya nchi
~Watoto wa maskini tutazidi kuangamia kama serikali itafuata huu ushauri wako, bila shaka vigezo vya kuchagua hao wa kusomesha itakua ni viwango vya ufaulu. Watoto wa English mediums ambao ndo wanaongoza kwa ufaulu watapata hizo chances za kusomeshwa, sie wa kayumba itabidi tusubiri rehema ya Mungu
 
Isome kwa makini hii topic
~Tunahitaji kuwa na taifa la watu walioelimika na wenye ujuzi, itasaidia kutumia ujuzi na maarifa waliyopata kwenye elimu kujitengenezea ajira bila kutegemea serikali
~Kuna ajira sekta binafsi na nje ya nchi
~Watoto wa maskini tutazidi kuangamia kama serikali itafuata huu ushauri wako, bila shaka vigezo vya kuchagua hao wa kusomesha itakua ni viwango vya ufaulu. Watoto wa English mediums ambao ndo wanaongoza kwa ufaulu watapata hizo chances za kusomeshwa, sie wa kayumba itabidi tusubiri rehema ya Mungu
 
And that is exactly my point,out of 150 m, only 9M ndio wanakua employed na serikali..because this is what government can afford wengine waende private, naomba nikuulize je serikali ya marekani iliwasomesha hao wote 150M people?
40+ milion US citizens 18yro and above carry a student loan. That means wamesomeshwa na Serikali... 🙂

Back
Top Bottom