Kazi zipo nyingi hasa kwa kada ulizotaja. Hospitali zote na zahanati hazina madaktari wa kutosha. Hakuna huduma zaidi ya za dharula baada ya saa 9 hospitalini, zahanati hufungwa, sababu ni uhaba wa watumishi. Primary mpaka vyuo vikuu vyumba vya madarasa havitoshi. Madarasa yakikidhi watahitajika walimu kuzidi waliopo mitaani. Shida kubwa ni hela ya kulipa mishahara. Hela yote imepelekwa kwenye miradi mikubwa anavyotaka aimalize kwa kipindi kifupi, na iliobaki imeingia kwenye siasa.Habari JF...
Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..
Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..
Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,
Ni hivi;
Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-
then,
Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.
Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa
Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..
Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,
Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol
The same method goes to walimu,na fani nyingine...
Karibuni
Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...
Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...
Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
Binafsi sijaona point,kwani anae ajiri ni serikali tu,acha watu wasome kadiri ya uwezo kwani kumbuka kuna watakaokataa kuajiriwa,kuna wanaostaafu wanaofariki etc hivyo huwezi kusomesha wanafunzi kwa kigezo cha mahitaji ya serikaliHabari JF...
Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..
Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..
Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,
Ni hivi;
Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-
then,
Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.
Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa
Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..
Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,
Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol
The same method goes to walimu,na fani nyingine...
Karibuni
Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...
Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...
Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
hahaaaaa umeniweka kwenye ignore list na bado unajibu na kuona posts zangu?...interesting!Mbona unakuaga na maneno machafu Sana wewe??, Ukipingwa post zako unakua na mdomo sana kwanini ??
Kwahiy mtu akikupinga ndio hakupendi ???Nishakuweka ignore list mda mrefu kama ulivyotaka
Vyuo vikuu vingi vya Nigeria ni sawa tu na utiitiri wa sekondari za kata hapa nchiniAgain, usifananishe degree za wanaigeria, wao wengi wao utakuta daktari/engineer anabeba box, degree zao na wao ziko useless nje ya mipaka yao..hili la kusomesha vitu irrelevant ni janga la Africa
Umefanya Assumption kuwa Serikali pekee ndiye muajiri.Habari JF...
Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..
Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..
Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,
Ni hivi;
Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-
then,
Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.
Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa
Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..
Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,
Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol
The same method goes to walimu,na fani nyingine...
Karibuni
Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...
Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...
Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
Kuna mawili either ni graduate uliyekosa ajira au una ajira alafu hupati ulichotegemea.
Kuhusu kusoma kuna mawili
- kusomeshwa na serikali
- kujisomesha mwenyewe
Kuhusi kusomeshwa na serikali, hapa ndipo utata utaanza kwa kuwa wengi wana vigezo vya kusomeshwa na serikali ma ndio maana leo hii unaona moja ya agenda kubwa ya upinzani ni kuwapa mikopo wanafunzi wote wa elimu ya juu.
Sasa ikatokea serikali ikasema tutasomesha tu wale tutaoweza kuwaajiri basi jua hiyo itakuwa serikali KICHAA
kujisomesha mwenyewe
Hapa ndio patamu, nina pesa na nina sifa za kusoma course ninayotaka, utanizuiaje?
Bottom line;
Serikali haiwezi kuajiri kila mtu, hata iweje haitaweza.
Mnapenda kujipa stress bila sababu za msingi, hakuna mtu au serikali iliwahi kukuambia ukimaliza shule tutakuajiri.
Kama kuna watu wana mawazo kama ya mtoa post, basi ni dhahiri shahiri kuwa WAJINGA HAWATAISHA, KWA KUWA HAWAJUI KAMA WAO NI WAJINGA
Umefanya Assumption kuwa Serikali pekee ndiye muajiri.
Vipi kwa wale wanaotaka kusoma ili wawekeze.. wajifungulie hospitali zao na wao waajiri!?
Wako watanzania wana hospitali Eswatini Zahanati South Afrika... Labda baadae watawekeza kwa kiwango kikubwa Katika nchi zinazotuzunguka.. wakitaka kuexport wataalamu watawapata wapi ikiwa serikali imesomesha wanaotakiwa kuajiriwa tu!?
Elimu lengo lake sio kuajiriwa tu... Ni kukufungua mengine yanafuata baada ya kufunguliwa. Kujiajiri na kuajiriwa ni sehemu tu ya hayo yanayofuata baada ya elimu.
Kikubwa Serikali ione namna gani itasaidia kutengeneza miundombinu wezeshi ya kusaidia vijana kutumia elimu waliyoipata. Kujiajiri na.kujipatia kipato.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Binafsi sijaona point,kwani anae ajiri ni serikali tu,acha watu wasome kadiri ya uwezo kwani kumbuka kuna watakaokataa kuajiriwa,kuna wanaostaafu wanaofariki etc hivyo huwezi kusomesha wanafunzi kwa kigezo cha mahitaji ya serikali
Nakuelewa sana... Ila ni kitu kigumu..kwa nchi ambayo haijajengwa katika utamaduni wa kupanga...I just think kila mtu mwenye uwezo wa kusomea udaktari asome, ila kuhusu kuwa funded na serikali ndio kuwe na LIMITATION ya number ya wanafunzi eligible....
Tudiscuss kwa mapana..i agree labda nilikosea kuweka EXACT number ya wanafunzi labda tungeweza kuweka wanafunzi 1000 na 10% plus ili kuruhusu wanafunzi wanaotaka kwenda kufanya kazi private hospitals waende..au wale wanao drop out from Medical Universities ...hivyo kutokua na gap kubwa ya wanaohitimu na kupewa ajira...
Wengi naona mmechanganya kudhani intake iwe ya watu 1000 tu,hapana kila mtu asome lakini kusomeshwa na serikali ni watu 1000 +10% tu
Mkuu umesisitiza kuwa kuna waajiri wengine mbali na serikali ila CURRENTLY mbona hawajaweza kutatua hili tatizo la UNEMPLOYMENT ????
Ungekuja na takwimu Za Idadi ya madaktari kwa idadi ya watanzania wote,Idadi ya walimu waliopo kwa idadi ya wanafunzi!!Habari JF...
Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..
Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..
Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,
Ni hivi;
Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-
then,
Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.
Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa
Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..
Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,
Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol
The same method goes to walimu,na fani nyingine...
Karibuni
Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...
Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...
Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
Nakuelewa sana... Ila ni kitu kigumu..kwa nchi ambayo haijajengwa katika utamaduni wa kupanga...
Hivyo sote tunasoma na mengine tunakutana nayo mbele kwa mbele. Ukininyima fursa halafu hiyo ikawa deal baadae lazima turudi kulalamika tena .. π
Na hizi fedha ni zetu.. na serikali ndio sisi... π Tujisomeshe tu..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kazi zipo nyingi hasa kwa kada ulizotaja. Hospitali zote na zahanati hazina madaktari wa kutosha. Hakuna huduma zaidi ya za dharula baada ya saa 9 hospitalini, zahanati hufungwa, sababu ni uhaba wa watumishi. Primary mpaka vyuo vikuu vyumba vya madarasa havitoshi. Madarasa yakikidhi watahitajika walimu kuzidi waliopo mitaani. Shida kubwa ni hela ya kulipa mishahara. Hela yote imepelekwa kwenye miradi mikubwa anavyotaka aimalize kwa kipindi kifupi, na iliobaki imeingia kwenye siasa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Habari JF...
Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu..
Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali..
Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya kusomesha kundi kubwa wakati ajira ni chache,
Ni hivi;
Kwa mfano madaktari Serikali iamue wanahitajika madaktari wangapi per head. Namaanisha, kama zahanati ina uwezo wa kuchukua watu kumi+/-
then,
Serikali ipige hesabu kwa kila mfano wagonjwa wanne au watano awepo daktari mmoja,so watahitajika madaktari wawili kwa hio zahanati.
Hivyo hivyo, serikali ihesabu uhitaji wa madaktari nchi nzima , kwa kudetermine uwiano kati ya Madktari/wagonjwa
Hizi hesabu za kujua kila /hospital/zahanati/ inahitaji madaktari wangapi...itakupa collectivelly wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima..
Na ukishajua wanahitajika madaktari wangapi nchi nzima, itakuguide wewe kama serikali uchukue wanafunzi wangapi kwa course ya Udaktari,
Mbona its simple, sijui serikali yetu imejaa upotolo gani?lol
The same method goes to walimu,na fani nyingine...
Karibuni
Serikali lazima iwe na confidence kuwa ina madaktari wangapi nchi nzima...
Kabla hamjaanza kuni crash na kusema huu ndio utaratibu uliopo...
Naombeni muanze kujiuliza kwa nini
serikali haiwezi kuajili kila mtu hata uko ulaya wanaomaliza vyuo wanawaza kufungua kampuni zao hapa Tanzania nani sijui katuloga kuamini wote tutaajiliwa na serikali