Serikali inayokuja isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiri

kwani ukifanyakazi taasisi binafsi kuna ubaya gani alafu graduates wote mnataka kulundikana dar ikitokea kazi katavi hamtaki kwenda kwanini
 
kuna ngos
 
Marekani work force on over 150m wanaoajiriwa na serikali ni milioni 9. Unadhani wao wameshindwa kuajiri wote milioni 150 au hawawezi!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Marekani work force on over 150m wanaoajiriwa na serikali ni milioni 9. Unadhani wao wameshindwa kuajiri wote milioni 150 au hawawezi!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

And that is exactly my point,out of 150 m, only 9M ndio wanakua employed na serikali..because this is what government can afford wengine waende private, naomba nikuulize je serikali ya marekani iliwasomesha hao wote 150M people?
 
Kwa nini unasema hivyo...???
Kusema serikali isomeshe idadi ya watu inaoweza tu kuwaajiri tu si jambo la busara hata kidogo. Wakati sasa hv tunalalama kwanini serikali inakopesha wanafunzi wachache badala ya kukopesha wote wewe nawe unakuja na hii mada ya kukandamiza kabisa.
~Tunahitaji kuwa na taifa la watu walioelimika na wenye ujuzi, itasaidia kutumia ujuzi na maarifa waliyopata kwenye elimu kujitengenezea ajira bila kutegemea serikali
~Kuna ajira sekta binafsi na nje ya nchi
~Watoto wa maskini tutazidi kuangamia kama serikali itafuata huu ushauri wako, bila shaka vigezo vya kuchagua hao wa kusomesha itakua ni viwango vya ufaulu. Watoto wa English mediums ambao ndo wanaongoza kwa ufaulu watapata hizo chances za kusomeshwa, sie wa kayumba itabidi tusubiri rehema ya Mungu
 
 
And that is exactly my point,out of 150 m, only 9M ndio wanakua employed na serikali..because this is what government can afford wengine waende private, naomba nikuulize je serikali ya marekani iliwasomesha hao wote 150M people?
40+ milion US citizens 18yro and above carry a student loan. That means wamesomeshwa na Serikali... πŸ™‚

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…