Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%
NB:haya ni mawazo wangu najua serikali inasema haina hela,tafadhari Moderator msitoe uzi wangu
mkuu bilion 6 hata ukiweka handcap serikali inapata hela ya kutosha hadi division 4 wangepata mkopoUna mawazo mazuri mbadala maana kama waliotutangulia wanasema kuwa tunaendeshwa na matukio hili lingelikuwa bonge la BINGO teh teh teh tehhh
Haaaah inaonyesha ni Mteja wa hiihapo kulikuwa na odds 3.54 maaana wangeweka bilion 6 ingekujaa bilion 21.277
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%
odd 3.54 x billion 6 = 21 billions
NB:haya ni mawazo wangu najua serikali inasema haina hela,tafadhari Moderator msitoe uzi wangu
mkuu unapopga hesabu ya kupata tarajia kupata 98%Mnapigia hesabu kupata tu, pigieni na hesabu wangekosa ingekuwaje?
Kweli Tanzania kazi ipo!! Maliasili tunazo nyingi, Dhahabu, Gesi na mambo mengine mengi tunayo yaona yanatushinda. Sasa mnataka Taifa liingie kwenye kubet!! Mchezo ambao hamjui unasomekaje? Haki ya Mungu na mtume, Wachawi wa Tanzania ni Watanzania wenyewe kweli tena.