Serikali inge bet mechi za jana hela za mikopo ya chuo leo ingepatiakana

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%

odd 3.54 x 6 billion = 21 billions

NB:haya ni mawazo wangu najua serikali inasema haina hela,tafadhari Moderator msitoe uzi wangu
 
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%

NB:haya ni mawazo wangu najua serikali inasema haina hela,tafadhari Moderator msitoe uzi wangu

Una mawazo mazuri mbadala maana kama waliotutangulia wanasema kuwa tunaendeshwa na matukio hili lingelikuwa bonge la BINGO teh teh teh tehhh
 
mkuu bilion 6 hata ukiweka handcap serikali inapata hela ya kutosha hadi division 4 wangepata mkopo
 
Daaaah huku kumbe uwa ni patamu hivi .......

Ila hata leo wanaweza weka naona Europe league ipo Zikiongozwa na Man u......
kwa mechi za jana ilikuwa rahisi sana kwa serikali kuingiza mkwanja wa maana ungesaidia wanafunzi
 
Hoja yako ina mashiko kiasi fulani japo ukichukulia juujuu utaona ya kipuuzi.
 
Mnapigia hesabu kupata tu, pigieni na hesabu wangekosa ingekuwaje?

Kweli Tanzania kazi ipo!! Maliasili tunazo nyingi, Dhahabu, Gesi na mambo mengine mengi tunayo yaona yanatushinda. Sasa mnataka Taifa liingie kwenye kubet!! Mchezo ambao hamjui unasomekaje? Haki ya Mungu na mtume, Wachawi wa Tanzania ni Watanzania wenyewe kweli tena.
 
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%

odd 3.54 x billion 6 = 21 billions

NB:haya ni mawazo wangu najua serikali inasema haina hela,tafadhari Moderator msitoe uzi wangu
 
Mnapigia hesabu kupata tu, pigieni na hesabu wangekosa ingekuwaje?

Kweli Tanzania kazi ipo!! Maliasili tunazo nyingi, Dhahabu, Gesi na mambo mengine mengi tunayo yaona yanatushinda. Sasa mnataka Taifa liingie kwenye kubet!! Mchezo ambao hamjui unasomekaje? Haki ya Mungu na mtume, Wachawi wa Tanzania ni Watanzania wenyewe kweli tena.
mkuu unapopga hesabu ya kupata tarajia kupata 98%
 
Back
Top Bottom