Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yeah kwa mazingira ya sasa gari nyingi zina batteries za kuanzia 35KWhhadi 1OOKWh. Kadri
KWh inavyozidi kuwa juu ndio uwezo wa kwenda umbali mrefu kwa gari kwa single charge unaongezeka.
Sasa battery imagine battery zuri la KWh 45KWh likifungwa mota yenye ufanisi mzuri linaweza kutembea umbali wa 21Okm it means kulijaza ni umeme wa elfu 15 tu. Ila umbali huo wa 21Okm ili utembee kwa kutumia petroli kwa gari inayotembea wastani wa kilometre 8 kwa litre maana yake ungetakiwa ujaze litre 27 ambazo kwa bei ya sasa ni sawa na 27*3148 = 84,996 ~ 85,OOO...Tuchukulie haya ni mafuta ya week 1.
Sasa angalia tofauti ilioko baina ya 85,OOO - 15,OOO = 7O,OOO... Hivi unaweza ku justify vipi hii tofauti haileti unafuu mkubwa kwa mlaji. Hii nimechukulia in case mtu anajazia gari nyumbani kwake kwa umeme wetu wa kawaida.
Ila ukifungiwa 3 phase kwa ajili ya fast charge huenda ikawa bei ya unit tofauti. Ila hata wakikuuzia unit moja tsh.4OO still gharama haiwez kuwa sawa na mafuta. Sababu kwenye kila litre 1 ya mafuta kutakuwa na Units. 8 kwa bei ya sasa ya 3,22O.

🤣 🤣 🤣 🤣 Itaboost kama charging inakula kilowatts nyingi. Charger ni charger tu haiwezi kufikia heater au pasi. Wakati kwenye mafuta karibia 50% ya bei ya mafuta ni kodi. Kwa ufuatiliaji wangu miaka kama 10 imepita hivi mafuta yaliyokuwa yanaongoza kwa matumizi nchini ilikuwa ni Diesel kwa siku Tanzania ilikuwa inatumia liter 7m za diesel sasa sijajua kwa sasa tunatumia lita ngapi za Diesel kwa siku.