Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Ukiona vitu vinapanda bei kwa haraka sana sababu kubwa ni inflation tuu, hapo serikali imechapisha pesa kuliko ilizonazo/inazokusanya, yule mchumi fake wa tozo aliyesema wahamie Burundi inaonekana ni mtupu kama maskafu yake anayovaag
Labda tuweke sheria kila mbunge lazima aishi maisha ya kipato cha Mtanzania wa kawaida kwa miezi sita hivi katika miaka yao mitano.Hawa wanaokula bure wala hawafikiriii maslahi mapana ya nchi zao ni matumbo yao kwnza
Labda tuweke sheria kola mbunge lazims aishi maisha ya kipato cha Mtanzania wa kawaida kwa miezi sita hivi katika miaka yao mitano.
Inaweza kuwafanya kufikiria zaidi maamuzi wanayofanya na kuchangia na ķamua maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Au labda nafasi kadhaa katika bunge zingetengwa kwa Walimu, wakulima, Nurses, Madaktari, wamachinga, mama lishe watu wa kawaida wangekuwa na uchungu zaidi na pesa yao na wangekuwa tayari zaidi kupigania maslahi yao wenyewe (wa kawaida).
Hilo ni gumu ktk nchi ambayo ujinga na unafiki umetamalaki
Viongozi hawapo kwa ajili ya uongozi wapo kwa ajili ya matumbo yaoNi kweli mkuu mfumuko wa bei ni mkubwa mno sio sekta ya ujenzi ni sekta zote. Kwa kweli ni shida tupu viongozi wapo kimya kizito huku wakijisifu uchumi unapanda na kwamba wao ni wachumi bora. Kazi ipo na uzi kama huu haupati wachangiaji maana wengi wamekuwa makuwadi wa siasa uchwara
Tatizo kila siku na kila mwaka watu huwa wanasema maisha yamekuwa tight. Hakuna mwaka ambao watu walisema maisha yakikuwa mazuri.Sasa hivi kila mtu ana makunyanzi. Maisha tight sana.
Hili ni tatizo la elimu, wananchi hawajui nguvu zao kwa pamoja. Labda kodi na tozo zikiongezeka zaidi itaanza kutafanya watu watambue nguvu zao kuielekeza na kuishinikiza serikali kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya taifa
ukweli unaosikitishaWamekusikia jamaa, tatizo ni kwamba anaweza kufanyia kazi maoni yako vyoote ulivyoandika hapo havinunui kwa jasho lake ila tunamnunulia sisi yeye anatumia bila wasi wasi.