Serikali inipe tenda ya kuwatengezea maji bahari kwa matumizi ya nyumbani

Serikali inipe tenda ya kuwatengezea maji bahari kwa matumizi ya nyumbani

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu

Sijui tenda nitapata vipi Mimi mzalendo. Mimi nitazalisha nawauzia DAWASA. Kama tatizo kama hili linawashinda wasomi wetu hawa, kuna haja gani kuendelea kuwasema tu hapa JF bila kuwasaidia na kuisaidia nchi kama mzalendo namba 1.

Ni ndani ya wiki mbili huduma inaanza kutumika(2,000 m3/day (2,040-83,270 liters/hour).Wanadarisalama watapata kutumia. Hali mbaya sana vikwapa vinanuka watanzania wamekosa nini ????
 
  • Thanks
Reactions: ffn
All the best mkuu ni wazo zuri jipange vema,water desalination ni project kubwa na umeme huu wa tanesco good luck, binafsi nipo nawe maana haya ndio mawazo chanya ya to make a small difference ndani ya nchi yetu, pia tuna ground water tunaweza vuna pia, tatizo nchi yetu ina viongozi wengi walio MUMPSIMUS!
 
This is Good idea! Ila cost of power ndio big challenging issue..
We will need about 3 kilowatts to produce 1 cubic meter of fresh .

Maji yatakuwa Gharama sana!

Although, kila jambo linawezekana.
 
Back
Top Bottom