Serikali inunue Magari ya idara zote za Halmashauri ili kuleta tija na Ufanisi Nchini

Sawa mkuu wa idara
 
Correct
 
Sawa mkuu lakini Kama issue Ni kutatua changamoto za wananchi Hawa wote wapo kwenye utekeleaji kwaio hatuitaki double standard Kama watapewa izo gari wakuu was idara basi na hao wakuu was shule wapewe
 
Mbona TRaffic wakipangiwa zamu kwenda kujificha kwenye vichaka wamulike magari na zile torch zao wanaenda na gari zao binafsi
 
Issue sio mafuta tu mkuu gari zina mambo mengi sana kuna service na pia unachosha gari kwa issue za serikali ukiendekeza kupewa mafuta amini nakwambia baada ya mwaka gari yako itakuwa imechoka vbaya sana au ukubali kuingia garama binafsi kwa issue za officen serikali.... Ni vyema kila idara iwe na usafiri na sio gari binafsi kutumika labda kama Tyre zikiisha wanakupa mpya na matengenezo ya gari inapotokea tatizo
 
Sioni umuhimu wa Afisa Elimu kupewa gari kwa ajili ya kufuatilia masuala ya Elimu wakati mwalimu anayefundisha anatembea kilometa kadhaa kufika kituoni....ningetamani sana serikali ichukue hayo mabilioni iwanunulie walimu pikipiki ili iwe rahisi kwao kufika vituoni maana kuna shule zinaweza maliza mwaka mzima hazijawahi kumuona Afisa Elimu amekanyaga hapo unless kuna tatizo ndipo aende hapo ......
 
Magari ni mzigo kwa walipa kodi.Watumishi wapewe misamaha ya kodi waingize magari binafsi Ili kupunguza ulazima wa manunuzi ya magari
Malizia tu hoja yako, naona kama umeiacha hoja ikielea hewani. Vipi kuhusu services pale ambapo magari binafsi yatatumika kufanya kazi za serikali. Nani atagharamia mafuta? Kwa roho ngumu namna hii, ipo siku utasema watumishi wpande punda katika kutekeleza majukumu yao ya kiofisi.
 
Umeongea point sana uko vijijin shule ipo mbali wanaoumia ni walim lakn serikali na wazili mkuu wameona apewe gari afisa elimu anaekaa ofisini
 
Kwa nini kitengo cha nyuki kinajitegemea? Kwani kuna wizara ya nyuki? Au ulaji tu?
 
Ni wazo zuri,, lakini binafsi naamini wanaofanya kazi kubwa Ni watumishi was ngazi ya chini,, Hawa halmashauri kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa kwa wasap na kuziunganisha na kuzituma tu,,, wazo langu usafiri wapewe wale was ngazi ya chini,, mf Kuna maafisa mifugo Ana kata ina vijiji 7,, Ana fanyaje kazi,,
 
Maafisa wote ambao Ni wakuu wa idara ngazi ya halmashauri kazinyao kubwa ni ki compile taarifa tu amabazo wanatumiwa kwa watsap na watumishi wa chini yao. Na wakati mwingine kuwataka watumishi hao wapeleke taarifa halmashauri

Suala la USAFIRI liangaliwe vizuri Nani anastahili kupewa usafiri Kati ya makundi hayo. Mfano idara ya elimu wamepewa usafiri wa pikipiki waratibu elimu kata ambao Kazi zao zinafanana na watendaji wa kata katika ufuatiliaji ndani ya kata, Weos, maafisa kilimo wa kata waangaliwe pia
 
Magari ya serikali yapo yakutosha tatizo ni ukiritimba...
 
Sielewi huwa hizo idara ambazo hazina magari huwa wanafuatilia vipi miradi yao,!?

lakini kampuni au shirika la Wazungu ninakofanyia kazi, vilevile sana vitengo zaidi ya 20 na kila kitengo Kina staff zaidi ya 15,

sasa wenyewe walichofanya ni kuwa pool ya magari kama 20, ambapo afisa yeyote anayehitaji usafiri kwa siku hiyo anakuwa anaomba pale kwa kuweka request ya masaa 24 kabla ya safari yake,

na kwa kuwa kila kitengo au idara ina fungu lake la pesa, basi huwa inapigwa hesabu umetumia hilo gari km ngapi,

kwa mfumo huohuo mwisho wa mwaka idara inapigiwa hesabu matumizi yao ya usafiri ilikuwa ni kiasi gani, wanachangia hizo gharama wote,

sijui kama nimeeleweka,
 
Hata kama kila idara itapewa gari msisahau changamoto ya matengenezo hapo napo panakizungumkuti kikubwa. Gari inaweza kupata ka ugonjwa ka shilingi million moja lakini mpaka litengenezwe ni shida. Matengenezo madogomadogo madereva ndio huwa wanajiongeza wenyewe la sivyo ataishia kuona wenzake wanapokea posho za kuzunguka vijijini kwa activities tofauti tifauti.
 
Hao wameweka utaratibu mzuri,huku halmashauri hasa hzi mpya za 2015 utakuta ina 3 au 4 idara 18 .sanasana halmashauri kongwe utakutata ina magari 6 au nane
 
Kwa nini kitengo cha nyuki kinajitegemea? Kwani kuna wizara ya nyuki? Au ulaji tu?
Hicho ni kitengo kinajitegemea na kina mkuu wa idara analipwa mshahara 3.4M, analipwa fedha za fenicha 16M, kila baafa ya miaka 5, analipwa simu 180k kila mwezi,analipwa umeme 240k kila mwezi
 
Sawa mkuu lakini Kama issue Ni kutatua changamoto za wananchi Hawa wote wapo kwenye utekeleaji kwaio hatuitaki double standard Kama watapewa izo gari wakuu was idara basi na hao wakuu was shule wapewe
Mkuu wa while?
 
Magari ni mzigo kwa walipa kodi.Watumishi wapewe misamaha ya kodi waingize magari binafsi Ili kupunguza ulazima wa manunuzi ya magari
Kwamba Kazi ya ofisi ifanywe na gari binafsi la mtu?

#YNWA
 
Amen kubwa sanaa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…