HOJA Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
 
SErikali iondoe math sababu ya ww kutimiza ndoto zako?

UNa kichaa? Unataka kusoma kozi ya science ila unakwepa math, hamna science bila math
 
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Soma hesabu! Usilete mchezo kwenye afya zetu!, unataka kutuua!, unafikiri serekali ni wajinga kuiweka hesabu hapo kwenye sekta ya afya zetu!?
 
Hayo malalamiko nadhani ungeyapeleka TCU na Wizara ya Sayansi na Teknologia!
 
Mleta maada upo Sawa kweli ?

You wanna cure complex diseases in real life, but you can’t even handle basic calculations.

Bro, what exactly are you planning to prescribe the calculator?

Uko Sawa kweli ?
 
"Kwa Ombi Lako Hilo,,Tunaomba Tukotoe Tu Shaka Hatulifanyii Kazi.
###MwakilishiWaSerikali###
​
 
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Somo la hesabu linatakiwa kuwa nguzo ya elimu yoyote ya juu
 
Kama hujui hesabu, simply haujui chochote. Wahimize wanao wasome hesabu kupunguza malalamiko ya namna hii kwa wanao.
 
Tutajuaje kama uko makini? Tunataka accuracy & effectiveness ktk kudeal na mwili wa binadamu, kipimo ni mathematics. Soma maths acha uvivu manzeee
 
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Hivi kuna mtu alisoma afya na Hesabu ana F?
 
Ni bora ukasome tu political science mzee. Huko hakuna hesabu
 
Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor
Wacha kuhatarisha maisha ya watu mkuu.
Kama huwezi mathematics ni bora usome mambo tofauti na afya
 
Back
Top Bottom