HOJA Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor

HOJA Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lazima ufaulu physics, chemistry, biology na Mathematics. Kama hujafaulu soma kozi za art hazihitaji hayo. Kuna mtu namfahamu alisoma PCB akazuiliwa kusoma kozi Afya akasoma kozi nyingine hivi navyo ongea yupo EWURA anavuta hela ndefu sana mara tatu ya daktari.
 
Ila wewe ANO mimi na recommend ANO wote mfutwe wabaki NO tu
 
Back
Top Bottom