A
SErikali iondoe math sababu ya ww kutimiza ndoto zako?Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Soma hesabu! Usilete mchezo kwenye afya zetu!, unataka kutuua!, unafikiri serekali ni wajinga kuiweka hesabu hapo kwenye sekta ya afya zetu!?Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Somo la hesabu linatakiwa kuwa nguzo ya elimu yoyote ya juuJamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Hivi kuna mtu alisoma afya na Hesabu ana F?Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho, Tunaomba serikali yetu Sikivu ituondolee hicho kigezo kwani tunashindwa kutimiza Ndoto zetu wengi wetu.
Cheti kigezo D ya Biology na ChemistryHivi kuna mtu alisoma afya na Hesabu ana F?
Wacha kuhatarisha maisha ya watu mkuu.Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor
Nilidhani ni D Physics,Chemistry Biology na MathsCheti kigezo D ya Biology na Chemistry