Serikali iondoe sharti la kulipia leseni za TLS ili mtu apate haki ya kupata leseni ya uwakili (practising certificate) ili kuiua TLS kutokea ndani

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.

Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.

Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
 
Wazazi wako kama wapo hai ni muhimu sana wakazaa mtoto mwingine ili kufidia pengo lako.

Hata kama ni wazee kiasi gani, Sara alizaa akiwa bibi kabisa.

Huwezi kuwa na mtoto wa aina yako mwenye fikra kama zako na ukasema una mtoto. Wewe ni aibu kwa Jamiiforums na Taifa kwa ujumla.
 
Mwambie ukweli huyo chawa mwanaharamu mkubwa sana!
 
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.

Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.

Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Hayo ndio yalikuwa mawazo ya Nkuba na Mtatiro, sasa mawakili wameyakataa na kuwakataa wao pia.
 
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.

Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.

Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Kile.sio chama cha wanywa pombe au vilabuni ile ni professional entity zile contribution ni lazima tulipie sababu ni kwa ajili ya kuendesha seminars ambazo hutuweka mawakili updated katika nyanja kadha wa kafha sio tu malipo ya ulevi mzee.

Tofautisha professional body na charity organisation au chama kingine chochote.
 
Sasa mzilipe kwa hiyari, nakuhakikishia muda si mrefu T.L.S itashindwa kulipa mishahara, itabaki kama simba wa kwenye picha
 
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.

Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.

Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Ujinga ni mzigo,fitina ni dhambi.
 
Badala ya kushauri TLS wapambane kuhakikisha tunapata Katiba Mpya ambayo ni bora unashauri upumbavu kiasi hiki.

Kweli wewe ni wasted sperm. Watu kama nyie ndo mnatakiwa kupotezwa maana mnachangia sasa jamii kudumaa kimaendeleo
 
Back
Top Bottom