Serikali iondoe sharti la kulipia leseni za TLS ili mtu apate haki ya kupata leseni ya uwakili (practising certificate) ili kuiua TLS kutokea ndani

Too late , ungetoa hiyo idea 2015 but then umeshachelewa. Kumbuka hiko chama ni cha wanasheria si cha serikali
Ndio utajua kwa nini wakishtakiwa lazima mwanasheria mkuu wa serikali aunganishwe
 
Angeshinda Nkuba Ungesema hivyo??
 
Yote hii ni kwa sababu Mwabukusi ameshinda urais wa TLS?
Next time akishinda kada wa CCM murejeshe tena sheria kama ilivyokuwa mwanzo?
Wamesahau kuwa Walitamani Nkuba Ashinde wakabadili Mpaka sheria ya kukaa Madarakani kutoka mwaka mmoja mpaka Miaka mitatu wakijua Akiingia Kutakuwa hakuna Mambo mengi..
Cha ajabu Wataongozwa na Mbaya wao kwa miaka mitatu
 
yani hapo unatumia kinyeo kufikiria,stupid
 
Ndio utajua kwa nini wakishtakiwa lazima mwanasheria mkuu wa serikali aunganishwe
Pole sana hamna pa kushtakiwa maana hawajavunja taratibu na sheria zozote kwa sasa..
until then TLS ilikuwepo before uhuru wa nchi hii so suala la kuwatishia mwanasheria mkuu wakati wanamjua ni suala la kitoto kabisa
 
Wamesahau kuwa Walitamani Nkuba Ashinde wakabadili Mpaka sheria ya kukaa Madarakani kutoka mwaka mmoja mpaka Miaka mitatu wakijua Akiingia Kutakuwa hakuna Mambo mengi..
Cha ajabu Wataongozwa na Mbaya wao kwa miaka mitatu
Hawa jamaa sijui kama akili zao ziko sawa. Wanajiwaza wao tu. Hawajui mambo hubadilika bila kutarajia
 
The guy Mwabukusi is there on power for three years consecutive

And next year he will be one of the member in the parliament.

3 years as TLS president plus five years as MP (member of parliament)

😁WASTED SEED OR WASTED 💦

#Tunae sana
 
Naunga mkono hoja ... Usikilizwe unakitu
 
Then What next?
 
Halafu walibadili sheria ili iwe miaka mitatu wakidhani wataweka boya lao
 
TLS haina shida na Serikali ila kugusia ukiukwaji wa sheria ikiwa utatokea. Hoja ya kushangaza zaidi ni namna ilivyo primitive katika kutumia akili japo kidogo tu.
 
Stupid nonsense!.
 
Yaani ifanye yote haya kisa tu mtu mmoja? No wonder Sheria za namna hii zinatungwa kwa mtindo kama huo
 
Unateseka ukiwa wapi wewe chawa pro max….
 
Among the wasted sperm from human being! What would you get if the government removes that condition? Do you think the laweyer won’t un conditionary pay their fee?People are ready to service TLS …they don give dem on threat……..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…