Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hiko chama si CWTSasa mzilipe kwa hiyari, nakuhakikishia muda si mrefu T.L.S itashindwa kulipa mishahara, itabaki kama simba wa kwenye picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko chama si CWTSasa mzilipe kwa hiyari, nakuhakikishia muda si mrefu T.L.S itashindwa kulipa mishahara, itabaki kama simba wa kwenye picha
Angeshinda Nkuba Ungesema hivyo??Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Wamesahau kuwa Walitamani Nkuba Ashinde wakabadili Mpaka sheria ya kukaa Madarakani kutoka mwaka mmoja mpaka Miaka mitatu wakijua Akiingia Kutakuwa hakuna Mambo mengi..Yote hii ni kwa sababu Mwabukusi ameshinda urais wa TLS?
Next time akishinda kada wa CCM murejeshe tena sheria kama ilivyokuwa mwanzo?
yani hapo unatumia kinyeo kufikiria,stupidNashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Pole sana hamna pa kushtakiwa maana hawajavunja taratibu na sheria zozote kwa sasa..Ndio utajua kwa nini wakishtakiwa lazima mwanasheria mkuu wa serikali aunganishwe
Hawa jamaa sijui kama akili zao ziko sawa. Wanajiwaza wao tu. Hawajui mambo hubadilika bila kutarajiaWamesahau kuwa Walitamani Nkuba Ashinde wakabadili Mpaka sheria ya kukaa Madarakani kutoka mwaka mmoja mpaka Miaka mitatu wakijua Akiingia Kutakuwa hakuna Mambo mengi..
Cha ajabu Wataongozwa na Mbaya wao kwa miaka mitatu
Then What next?Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Halafu walibadili sheria ili iwe miaka mitatu wakidhani wataweka boya laoThe guy Mwabukusi is there on power for three years consecutive
And next year he will be one of the member of the parliament.
3 years as TLS president plus five years as MP (member of parliament)
😁WASTED SEED OR WASTED 💦
#Tunae sana
TLS haina shida na Serikali ila kugusia ukiukwaji wa sheria ikiwa utatokea. Hoja ya kushangaza zaidi ni namna ilivyo primitive katika kutumia akili japo kidogo tu.Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Stupid nonsense!.Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Yaani ifanye yote haya kisa tu mtu mmoja? No wonder Sheria za namna hii zinatungwa kwa mtindo kama huoNashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Halafu walibadili sheria ili iwe miaka mitatu wakidhani wataweka boya lao
Unateseka ukiwa wapi wewe chawa pro max….Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Among the wasted sperm from human being! What would you get if the government removes that condition? Do you think the laweyer won’t un conditionary pay their fee?People are ready to service TLS …they don give dem on threat……..Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.