MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari mno wa wanyama. Ikumbukwe kuwa mnyama hawezi kuishi karibu na binadamu kwahiyo baada ya miaka michache watatoweka.
Serikali iongeze ada ya vibali angalau iwe dola 200,000 (dola laki 2) ili kudhibiti idadi ya wanaotaka kujenga.
TUZILINDE MBUGA ZETU KWA WIVU MKUBWA.
View: https://www.instagram.com/reel/DIYu5xOoysI/?igsh=MWk5dnBkM254anU5cw==