peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Upogo!Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upogo!Hatari sana
Wasalaam wana jamiiforum
Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji.
Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza.
Nimewaza bei yake madukani na vile zinazalishwa kwa wingi na makampuni tofautitofauti nikagundua soko lake ni kubwa sana nikaona ni heri serikali sasa ipandishe bei ipate mapato ya kusaidia waathirika na kupunguza matumizi yake kwa watanzania.
Bei ya chini ikiwa 5,000 kwa chupa sio mbaya kabisa
View: https://youtu.be/fHEDEy-P_xc?si=bJdgfMoKoEku53HJ
Watakaoshindwa kutumia ni vizuri warudi kwenye kutumia chai, kahawa na juice
Happy new year 2024!Nipogo mwaya

Sijawah kuyapendaga haya mataka taka. Maisha yangu sijawah na sionji kinywaji chochote zaidi ya hiv spcifically.Kuna kipindi nilikuwa napenda sana mo Xtra haipiti siku sijanywa.
Wasalaam wana jamiiforum
Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji.
Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza.
Nimewaza bei yake madukani na vile zinazalishwa kwa wingi na makampuni tofautitofauti nikagundua soko lake ni kubwa sana nikaona ni heri serikali sasa ipandishe bei ipate mapato ya kusaidia waathirika na kupunguza matumizi yake kwa watanzania.
Bei ya chini ikiwa 5,000 kwa chupa sio mbaya kabisa
View: https://youtu.be/fHEDEy-P_xc?si=bJdgfMoKoEku53HJ
Watakaoshindwa kutumia ni vizuri warudi kwenye kutumia chai, kahawa na juice
Wasalaam wana jamiiforum
Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji.
Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza.
Nimewaza bei yake madukani na vile zinazalishwa kwa wingi na makampuni tofautitofauti nikagundua soko lake ni kubwa sana nikaona ni heri serikali sasa ipandishe bei ipate mapato ya kusaidia waathirika na kupunguza matumizi yake kwa watanzania.
Bei ya chini ikiwa 5,000 kwa chupa sio mbaya kabisa
View: https://youtu.be/fHEDEy-P_xc?si=bJdgfMoKoEku53HJ
Watakaoshindwa kutumia ni vizuri warudi kwenye kutumia chai, kahawa na juice
Hapo ni Sawa na huli mbwa mchuzi wake unakunywa.Sijawah kuyapendaga haya mataka taka. Maisha yangu sijawah na sionji kinywaji chochote zaidi ya hiv spcifically.
- 7up/sprite/pepsi
- chai/maziwa/coffee
- maji/ juice
Not more ..no less
Kweye soda hapo sion shida na pia wala sio kinywaji cha kusisimua misuli. Pia hiz tunakunywa toka utoton.Hapo ni Sawa na huli mbwa mchuzi wake unakunywa.
Pepsi, 7up, sprite, Pepsi, coffee vyote Vimeo hivyo, afadhali kidogo juice ya kiwandani.
Dah! Nadhani Tozo walizotuwekea hadi sasa zinatosha - mwisho wa siku hawa jamaa (Serikali) watatukausha damu.Hatuilaumu serikali tunaikumbusha serikali kwamba kuna chanzo kipya cha mapato
Energy drinks ni dopeKuna tofauti kitu kibaya na matumizi mabaya
Kumbuka hata cocaine inatumika kama pain killer
Tofautisha!!
Kabisa, hata bei yake ikipanda watumiaji watabana mahali ilimradi ipatikane hiyo hela ya Energy DrinksKitu kibaya huondolewa dukani na siyo kukifanya adimu..
Mtoa hoja anaitetea iwepo madukani lakini anahurumia watumiaji.😀Kabisa, hata bei yake ikipanda watumiaji watabana mahali ilimradi ipatikane hiyo hela ya Energy Drinks