Naingia kwenye mada moja kwa moja. Juzi niliongea na daktari bingwa anayemiliki hospitali kubwa jijini kuhusu chanzo cha uraibu unaosababishwa na kinywaji cha energy. Daktari huyu alinihakikishia kwamba kinywaji chochote kinachosababisha uraibu lazima kinakuwa na kilevi au dawa za kulevya. Jibu...