Utungaji wa mitihan umebadilika,..haswa kwenye upande wa physics,.kuanzia mwaka 2019 format imebadilika na mfumo wa maswali unampima mwanafunzi ameelewa Nini na sio alikariri Nini,.
Conceptual questions,..na competence based questions..ndo zinazowatoa watoto kwenye reli..wao bado wanawaza kuhusu Define,.mention,List, na briefly explain..
Ushauri walimu wa masomo ya physics badilishen staili ya ufundishaji..kuanzia kidato Cha Kwanza,..kwny kila topic mjaribu kuwapa watoto conceptual questions,..ambazo zinahusiana na maisha halisi..
Kwa mfano mtoto anaulizwa,..je Ni process gan hutokea pale unapoweka TEa bag kweny maji ya Moto...kwa ambae haelewi conceptual questions hili swali hawezi akajibu chochote...(diffusion).. answer.