A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na Hospital ya Wilaya Mlele zote hizi anatoa huduma mtumishi mmoja tu.
Katika hospitali zote ni mtumishi huyohuyo mmoja ndio anatoa huduma, yaani ana wakati mgumu sanaa na akichelewesha huduma Wananchi na viongozi wanaanza kulaumu.