Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hamjambo humu ndani?
Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana.
Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani.
-Waumini wa kanisa moja maarifa hapa Dar es salaam walikuwa ni wafuasi wa chama fulani na mara baba yao wa kiroho alupohamia chama kingine nao automatically walihamia chama hicho.
Yaani mambo ya msingi mtu anaamriwa na mtazamo wa mchungaji wake😭😭😭.
Vijana wengi kwa kukosa akili na kwa makusudi kabisa wamekuwa ombaomba ili wampige Mhindi kwenye kamari. Vichekesho sana.
Mashuleni na vyuoni hali ngumu, vijana mpaka wa masomo ya udaktari wanachanga pesa kumwonga malimbukeni wao awapasishe.

- Vijana wa nchi hii wasomi kwa wajinga hata nchi yao hawaijui. Msomi kabisa anajua kuwa Moshi, Songea na Bukoba ni mikoa.
- Vijana hawajui hata sera za msingi za kiuchumi na kidiplomasia za nchi yao Tanzania. Kijana hajui jinsi Tanzania inavyohusiana na mataifa makubwa kama China na Marekani.