A
Anonymous
Guest
Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu.
Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa bomoa zisizo na fidia?
Ifike kipindi hawa madalali wapigwe tu marufuku, ukiwa unataka kuuza uwanja wako mkubwa uende serikalini waje kuchora ramani kamili ya mji, pia kiwanja chako kitapanda thamani sio hii kuuza uza vimita 20 kwa 20. Tunachafua muonekano wa makazi wakati nchi ina eneo kubwa la kila mtu kujenga.