Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Uko vizuri kidarasa zaidi, ila nifafanulie kikubwa ni db au wati.Decibel = Sound
Watts = Power
Huyo ni mtoto wa Zuchu anamwangalia baba yake anavyobetua makalio ya mamdogo wake.Kizazi cha wakata mauno
Ova
Uko sawa ila mimi nimejikita kwenye afya ya mtoto, maadili hakuna kitu kama hicho hizo ni mgonjera za wanasiasa kwani kila kabila lina mfumo wake wa maisha.Sio swala la sauti tu maadili na maudhui ya nyimbo zimekaa kuipotosha jamii
Mabadiliko yanaanza na mimi, wewe na yule kwenye ngazi ya familia.Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi!
Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu hayawezi kuhimili kelele hizo, anaumia.
View attachment 2844189
Kwenye kuhusu afya ya masikio ya mtoto kama unavyojaribu kusema ni “decibels” na siyo watts.Uko vizuri kidarasa zaidi, ila nifafanulie kikubwa ni db au wati.
Uko sahihi.Kwenye kuhusu afya ya masikio ya mtoto kama unavyojaribu kusema ni “decibels” na siyo watts.
Kwenye tamasha hili alikuwepo mhe. Mwigulu ambaye angeweza kuhoji uonekano wa mtoto huyo jukwaani kwani alionekana pia akimsumbua mlinzi wa baba yake.Mabadiliko yanaanza na mimi, wewe na yule kwenye ngazi ya familia.
Siyo kila kitu iwe serikali. Maana kama wazazi wenyewe hawajielewi serikali haitaweza kudhibiti kila kitu kinachohusiana na maadili kama sisi wenyewe hatuwezi kuona umuhimu wake.
Kuna mambo mengi sana kuhusiana na watoto na haki zao ambayo hayaonekani kama yana maana yoyote ile.
Watoto wengi wako kwenye ma garage, “wa kujifunza ufundi” AKA Kanyika, kwa mama ntilie, ambapo wanalipwa 5,000 kwa siku kuzungusha vyakula sehemu mbali mbali huku wakidhilishwa kingono nk, kwenye bar na madanguro.
Sasa hao watoto hata wakinyimwa hayo, na wazazi hawajali, si wanaendelea kuyafanya kwenye private parties nk? Ambako kuna ma DJ wanapiga miziki?
Wanapotosha vipi jamii?Sio swala la sauti tu maadili na maudhui ya nyimbo zimekaa kuipotosha jamii
Hivi mzazi wa huyu mtoto alikuwa wapi? Usikute hapa ni saa 6 usiku mtoto anajivinjari na bongo fleva.Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi!
Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu hayawezi kuhimili kelele hizo, anaumia.
View attachment 2844189
Mzazi ndiye huyo anayemzibua masikio mwanae na huyo ni Zuchu, alipanda naye jukwaani akiwa amembeba kisha akamtua chini na kumuweka pembeni ya spika ili naye ajifunze kuimba.Hivi mzazi wa huyu mtoto alikuwa wapi? Usikute hapa ni saa 6 usiku mtoto anajivinjari na bongo fleva.
Kwa kweli huu ni ujingaMzazi ndiye huyo anayemzibua masikio mwanae na huyo ni Zuchu, alipanda naye jukwaani akiwa amembeba kisha akamtua chini na kumuweka pembeni ya spika ili naye ajifunze kuimba.View attachment 2844496
Ulimbukeni, upumbavu huu wakupandisha watoto wadogo jukwaani upo Tanzania tu na bahati mbaya watetezi wa haki za watoto wanaona ni fasheni si tatizo.Kwa kweli huu ni ujinga