Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Mzazi ndiye aliyempandisha mwanae jukwaani ili ajifunze bongofleva.Serikali yangu najua imeshindwa Mengi ila kushindwa kuwalinda Hawa watoto ni kosa ambalo halivumiliki.Hapo kwanza mzazi anatakiwa awe ndani,na hao waandaaji wakati mtoto akipatiwa matibabu ya kisaikolojia.The future is dark as hell tukiendelea kucheka Cheka na Hawa tuliowapa dhamana.