KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.

Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.

Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?

Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.

Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.

Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.

Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.

Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.

Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
 
Huruma siyo malezi na unaposema umesoma chuo kinaitwa Zanzibar health ni bora kwa kutumia vigezo gani

Ila kikubwa vyuo vya Afya nchi hii vichache sana kwa ngazi ya degree haziwezi kidhi mahitaji ya Form 6 na nyie wa diploma au mnajiita wenye professional
 
Una hoja usikilizwe ila usitaje u Zanzibar Ili uonewe huruma. Pia F6 PCB wanasoma bam sisi pale pugu Bam ilituaumbua sana.

Nakubaliana nawe wanaotoka Diploma visiangaliwe tena vyeti vyao vya f4.
 
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.

Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.

Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?

Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.

Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.

Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.

Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.

Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.

Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
1.Clinical officer sio professional,haitambuliki duniani na wala W.H.O,
2.Pia form Six sio level yako acha kujicompare naye,we ulifeli form 4 ndio maana ukawa clinical officer,
3.kwa nini usireseat mtihani wa form 4 hesabu tu Ili upate angalau D ya kusoma MD?
4.ADUI YAKO NI MAKSI/AKILI NDOGO,NDIO MAANA UKAWA C.O,ADUI YAKO SIO FORM 6 WALA MD,PAMBANA NA ADUI YAKO,UTAFANIKIWA TU
 
hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Fanya utafiti kwanza. Hesabu wanasoma, inaitwa BAM.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math
Kama ulipata F ya Math form 4, mbona wanakuokoa na usumbufu wa kukutana na Math na kutaabika nayo huko mbele?

Math haikwepeki, utakutana na application zake maeneo mengi huko mbele. Na kwa kuwa inakugaragaza, kuna masoma utaona hayawezekani kueleweka
 
Vijana wengi huwa wanakurupuka.kusomea vitu ambavyo baadaye huwaletea shida kwakukosa ufahamu

Mfano unasomea CO (clinical officer) lengo lako kuwa daktar baade

Lazma uangalie vigezo vya udaktar vipoje hapo baadaye utakapotaka kusomea

Ishi kwa malengo ya mbele lazma ujue na kwa sasa vigezo vinaongezeka Kila siku kutokana na ushindan uliopo na ukizubaa hapo baadae utaambiwa ili usome.huo udaktar lazma uwe na C ya hesabu olvel au B ya biology
 
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.

Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.

Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?

Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.

Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.

Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.

Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.

Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.

Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Usipende huruma. Rudia mtihani wa Hisabati ili uwe na vigezo.
By the way, kwasasa uzalishaji wa Madaktari umezidi kiwango hitajika.
Hivyo, ni ngumu vigezo kubadilishwa ili 'wachache' mnufaike.
 
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Sasa hapa serikali ifanye nini? Umegonga F ya Basic Math halafu unataka ukatibu watu!
 
Nani kakudanganya kuwa form six wanasoma bila hesabu ? Ni kwamba six wanasoma bam hio bam ni hesabu
Sasa wewe wakusajili afu ukutane na course ya statistics na ulifeli hesabu utatoboa kweli?
 
Hesabu ndio foundation ya sayasi zote duniani,utataka uwe mwanasayansi ila msingi wa sayansi huna?
 
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.

Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.

Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?

Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.

Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.

Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.

Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.

Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.

Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Huwezi kwenda form V kwa PCB kama form una F ya Mathematics. Na pia PCB wanasoma Basic Applied Mathematics. Hivyo, wanapoenda MD tayari wana Mathematics.

Jambo la Msingi kama vyuo vya nje wanakupokea kwa sifa zako ni kupambana TU uende nje hata Hapo INDIA ukale na Pilipili au hapa jirani Uganda
 
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.

Nimeishia hapo kwenye neno Zanzibar,nyie watu wa Zanzibar wazembe na wajinga sana, mfano mzuri ni huyo rais wa Malawi mwenye D ya kiswahili asiyejua hili Wala lile.
 
Back
Top Bottom