Nenda ukasomee nje ya nchi inawezakana vigezo vipo tofauti tafuta vyuo Uganda, Kenya , Malawi au Zambia . Angalia entry qualifications zao zipojeVijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Daktari ni kuanzia bachelor and above, so sema tu hicho chuo kimetoa matabibu wengi. Kwa Tz bara kusoma diploma ya Medicine wanadai hesabu, halafu form six PCB anasoma Basic Applied Mathematics ambayo ni ngumu kuliko ya O-level, so anajua hesabu kuliko wewe, pia ukiona jau risiti hiyo hesabu yako ukasome degree, hesabu ya O-level nayo ni ya kupata F? ile ni ya kupata A.Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Mzee mbona unakabia juu hivyo?1.Clinical officer sio professional,haitambuliki duniani na wala W.H.O,
2.Pia form Six sio level yako acha kujicompare naye,we ulifeli form 4 ndio maana ukawa clinical officer,
3.kwa nini usireseat mtihani wa form 4 hesabu tu Ili upate angalau D ya kusoma MD?
4.ADUI YAKO NI MAKSI/AKILI NDOGO,NDIO MAANA UKAWA C.O,ADUI YAKO SIO FORM 6 WALA MD,PAMBANA NA ADUI YAKO,UTAFANIKIWA TU
..Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Mnataka kuuwa watu?Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Umeelewa lakini? Kama issue ni F ya hesabu ndiyo inamnyima fursa ya kusoma MD degree iweje wanaotoka form six wenye F ya hesabu wanaenda degree MD?Ndugu wako sawa utaendaje kusoma MD wakati una F pia kutakuwa na topic za hesabu ndomaana wakawek hiko kigezo.
Umesoma puga unaitwa Mama Naa?Una hoja usikilizwe ila usitaje u Zanzibar Ili uonewe huruma. Pia F6 PCB wanasoma bam sisi pale pugu Bam ilituaumbua sana.
Nakubaliana nawe wanaotoka Diploma visiangaliwe tena vyeti vyao vya f4.
Fyoko.Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Form six utakuta kafaulu Basic Applied Mathematics (BAM) ya advance, wakati wewe Hesabu ya O level tu una F, mnalingana?Umeelewa lakini? Kama issue ni F ya hesabu ndiyo inamnyima fursa ya kusoma MD degree iweje wanaotoka form six wenye F ya hesabu wanaenda degree MD?
Sasa wewe unakuja na assumption badala ya reality.Form six utakuta kafaulu Basic Applied Mathematics (BAM) ya advance, wakati wewe Hesabu ya O level tu una F, mnalingana?
Yani upate F ya hesabu na bado unataka kusoma MD! hapana mtakuja kutuua huko mahospitalini.. kuna dose titration zinazohitaji hesabu sasa kama ulishindwa kupata hata D ya hesabu endelea kutibu kikohozi na kuhara tu huko tandahimba.Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
WEWE ULIFELI,FULL STOP.Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya Chemistry, C ya Biology na D ya Physics nilifeli tu hesabu, nikaomba chuo nikapata na nimemaliza nimepewa leseni nafanya kazi.
Ila sasa hivi kusoma degree eti unatakiwa mpaka uwe na walau d grade ya Hesabati ilhal tayari nina diploma na niliposoma hiyo diploma sikudaiwa Math na kibaya zaid nje ya nchi unasoma bila Hesabu lakini pia hapa hapa kwetu Tanzania wanaotoka form 6 wanasoma bila hesabu pia why?
Tunaomba tuliosoma Diploma za Medicine kwa vile tumepewa vyeti na leseni tuonewe huruma tutumie PCB ya Form 4 na vyeti vya diploma tukasome Doctor of Medicine Degree. Inakujawe mtu anatoka form 6 fresh school anaruhusiwa tena. Bila Math kusoma MD LKN SIS wenye profession tayari tunabanwa kisa Hesabu.
Mtaala wote unalazimisha hesabu kwa wanaotoka diploma kutaka MD ila kwanini Form 6 hawajui hata medicine wao wanaruhusiwa kusoma MD bila math kwanini lakini tunaomba Serikali ituone kwa hili.
Nimesoma hapahapa Zanzibar, Chemistry nilipata C, Biology C, Physics D english C, Geography D, Dini ya Kiislam D, Math F nikapata division 3 point 23 ila nimesoma chuo nimepata first class 4.6GPA OUT OF 5.
Nataka kuenda degree naambiwa lazima Math why this na mpaka leo watu wanasoma diploma hawana Math na wanakubaliwa sasa kwanini watukubali afu degree watuzuie tena tayari tuna professionalism yetu ila form six wawachukue bila Bath na hawana profession ni fresh from school.
Hii ni changamoto inatusakama wengi, ajira hamna mtu unataka ukasome at least degree zinatoka ajira tutumiie taifa letu ila still tunabanwa.
Nilisoma Zanzibar School of Health, ni private na ni chuo bora sana kwa Zanzibar, kimeshatoa madaktari wengi tu.
Na mimi ananipa wakati mgumu wakati BAM ni mziki mnene kuliko hata mathematics ya O-LevelKwani BAM sio math au jina limekuchanganya, form 6 gani hao ambao hawasomi "math"?!
Nimecheka sana broWEWE ULIFELI,FULL STOP.
NDIO MAANA HATA HIYO CLINICAL MEDICINE UMESOMA CHUO PRIVATE.
NAKUKUMBUSHA,HATA HAO MD KUPATA ADMISSION,LAZIMA FORM 4 AWE NA ANGALAU CREDIT PASS (C) YA HESABU,SASA WEWE ULIPATA F ,KISA UNA DIPLOMA UONEWE HURUMA?