Ngoja nisimame na wewe hapa.Toka nimekufahamu leo ndiyo umeongea point kwa mara ya kwanza
Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants,wakulima, wachimbaji wa madini nk wenye vipato vya msimu
Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na pension za watu hao
Kabisa ni wazo zuri natumai litafanyiwa kazi
Informal sector ipo nenda nssf ujaze fomu ujiunge
Kwanza Serikali irudishe imani ya wachangiaji kwenye hiyo mifuko.Toka nimekufahamu leo ndiyo umeongea point kwa mara ya kwanza
Well said mkuuKwanza Serikali irudishe imani ya wachangiaji kwenye hiyo mifuko.
Kwasababu unachokisema hapa siyo kitu kipya. Tulishawahi kuwa huko.
Tulikuwa na mifuko takribani minne ya hifadhibya jamii
- NSSF
- PPF
- GEPF
- LAPF
Na baadhibya mifuko ilikuwa na mafao ya aina hiyo.
Mfano: Kuna mafundi wa mtaani walishawishiwa wawe wanaweka pesa zao GEPF ( Uliokuwa mfuko wa wastaafu ) lakini cha kushangaza huo mfuko umekufa.
Pesa zimehamishiwa PSSSF na nyingine NSSF na namna ya kuzipata imekuwa ngumu.
Imagine pesa ambazo mwenyewe umeshawishiwa kuziweka kwa hiari, leo masharti ya kuzipata yanakuwa magumu na uwezekano wa kuzipoteza ni mkubwa sana.
Kwa hali hiyo utamshawishi akaweke pesa zake kwenye hiyo mifuko kwa hiari??
Nchi nyingi zinao fund managers private wanao manage pension fund za watu wa aina hiyo wao kazi yao kumanage na kuwekeza vizuri hizo pension za watu kwenye maeneo yenye interest kubwa au faida kubwa na wao huwa hawalipwi mishahara kama pension fund zetu ili wasile mtaji .Wao hulipwa small commission kwa sehemu ya faida wanayozalisha kama management feeHuo ndo wizi. Hiyo serikali yenyewe imekula hela ya wastaafu sembuse mtu binafsi
Hao NSSF kazi yao kubwa wanayoijua ni kukusanya michango ya wananchi tu, ikija upande wa kumpa mwanachama mafao yake watakuzungusha hadi uchanganyikiwe.Informal sector ipo nenda nssf ujaze fomu ujiunge
Yote ilikuwa ya Serikalimkumbuke ilipunguzwa baada ya kuonekana mingi.
mimi naona kitu muhimu warudishe ile sheria ya kujitoa,
hebu jiulize,kama walizuia watu kujitoa kwa madhumuni ya kua ni akiba ya uzeeni ,kwanini wameruhusu kukopesha kwa waajiliwa wa serkali!!
Yes, wewe wapelekee tu pesa zako, hawakatai pesa kabisa.Hao NSSF kazi yao kubwa wanayoijua ni kukusanya michango ya wananchi tu, ikija upande wa kumpa mwanachama mafao yake watakuzungusha hadi uchanganyikiwe.
Hao nssf ni matapeliYes, wewe wapelekee tu pesa zako, hawakatai pesa kabisa.
Ila Wakati ukifika unahitaji pesa zako, ndio utajua hujui yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes, wewe wapelekee tu pesa zako, hawakatai pesa kabisa.
Ila Wakati ukifika unahitaji pesa zako, ndio utajua hujui yaani.
Kifupi una expossure ndogoUnaelewa logic ya hii mifuko elewa sasa maaa yake tunakuhifadhia fedha zako maana wewe hujui kuweka akiba, je wewe hujui kuweka akiba kila hela unaingiza kwenye matumizi?sekta binafsi hatutaki hilo jambo ni kufanya watu hawana akili