Fund manager private ni tofauti na hao wa serikali sababu yeye hulipwa kwa asilimia ya faida anayozalisha .Hivyo hawezi cheza na pesa sababu ndio uhai wake akipiga faida ndio apata commision kwenye faida
Na wazoefu sana kwenye uwekezaji
Pia pesa chukulia mwanamichezo mkimbiaji kapata ushindi kazawadiwa milioni 20 hizoi kuzipata zingine tena sio leo au kesho hivyo aweza tenga kama milioni 10 kuweka kwenye private pension fund ambayo wataizungusha hiyo pesa kwenye sehemu zisizozalisha hasara zenye faida kubwa ili nao wapate commission kubwa.waweza zungusha mfano miaka mitatu huyo mchezaji uwezo wake wa michezo ukawa umeisha.Hivyo aweza lipwa mafao yake akitaka aweza wataka waendelee kuizungusha awe anapata kipato cha kiwango watakachokubaliana kila mwezi kwenye hiyo pesa yake ya pension akisema nataka yote wanampa akisema nataka nusu zingine endeleeni kuzungusha wanakubali
Pension hizi zawafaa pia kama kama wasanii,wachezaji wa michezo,wenye ajira na vipato vya part time,wenye biashara za msimu kama za misimu ya korosho nk nk