Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Habari?
Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji.
Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji.
Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa kama viwanja vya maghala vinavyoandaliwa.
Ufugaji lazima uwe wa zero grazing, (Kila mfugaji afungie mifugo yake ndani)
Hili likifanikiwa tutakuwa na wafugaji wengi wa kisasa nchi nzima, ajira zitaongezeka na kutakuwa na ongezeko la chakula pia.
Nawakilisha.