Ni nzuri sana lakini baada ya miaka 5 mifugo mingi itakuwa na animal diabetesHabari?
Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji.
Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji.
Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa kama viwanja vya maghala vinavyoandaliwa.
Ufugaji lazima uwe wa zero grazing, (Kila mfugaji afungie mifugo yake ndani)
Hili likifanikiwa tutakuwa na wafugaji wengi wa kisasa nchi nzima, ajira zitaongezeka na kutakuwa na ongezeko la chakula pia.
Nawakilisha.
Lazima utakuwa umetoka kijijini majuzi.Habari?

Ujue hata huko New York Kuna viwanja maalumu kwa ajiri ya Deports ambavyo huchukua karibu hekari Tano au zaidi zikiwa mjini. Kama deports zinawezekana mijini kwa Nini ufugaji usiwezekane mjini?Lazima utakuwa umetoka kijijini majuzi.
Mi nakushauri uende kufugia New York, Marekani,
si sawa ndo maana unaona mifugo barabarani wenye mifugo wanapaswa kuishi kwenye outskirt za mji na kuendelea kwenye maeneo ya ekari 3 na kuendelea! Hata zero grazing inahitaji mifugo kutolewa nje ya mabanda na kuota jua!Nimezungumzia ZERO GRAZING Ndugu yangu.
Ekari tatu inaweza kuwekewa fence ya wire au tofari, mfugaji akawa na kuku wake 1000 wa mayai/nyama au ng’ombe 10 wa maziwa ambao chakula wanapelekewa bandani au nguruwe 70.si sawa ndo maana unaona mifugo barabarani wenye mifugo wanapaswa kuishi kwenye outskirt za mji na kuendelea kwenye maeneo ya ekari 3 na kuendelea! Hata zero grazing inahitaji mifugo kutolewa nje ya mabanda na kuota jua!
Sasa kama unajua hilo na hukutoka Bariadi, unaomba kibali cha nini?Ujue hata huko New York Kuna viwanja maalumu kwa ajiri ya Deports ambavyo huchukua karibu hekari Tano au zaidi zikiwa mjini. Kama deports zinawezekana mijini kwa Nini ufugaji usiwezekane mjini?
Mkuu huku elekeza kufuga kuku na nguruwe tu. Ulicho ongelea ni upomji wa viwanja vya makazi na ufugaji ( zero grazing)nchi nzima.Nazungumzia mifugo ya kuvuna baada ya muda mfupi. Mfano: kuku wa mayai/nyama au Nguruwe.
Kuku na Nguruwe nilitolea mfano tu, ungejaribu kushughulisha akili Yako kutafuta mifugo mingine ya kuvuna kwa muda mfupi au hata ungefikiria habari ya green house.Mkuu huku elekeza kufuga kuku na nguruwe tu. Ulicho ongelea ni upomji wa viwanja vya makazi na ufugaji ( zero grazing)nchi nzima.
Nikirudi kwenye maelezo yako hapo juu kama nchi nzima wata fuga nguruwe kwa minajili hiyo si NCHI NZIMA ITAKUWA UNANUKA HARUFU YA KINYESI CHA NGURUWE!!
Kwani kuna tatizo?Inaonekana uelewa wako kuhusu Sheria ya ardhi na by laws nchini Tanzania ni mdogo sana.
Huwa sina tabia ya kubadili au kukana andiko langu au kauli yangu. Ukivukwa kaa chini anza upyaKuku na Nguruwe nilitolea mfano tu, ungejaribu kushughulisha akili Yako kutafuta mifugo mingine ya kuvuna kwa muda mfupi au hata ungefikiria habari ya green house.