YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote
Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti
Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi ambulia cha maana labda simu ambazo hata akienda uza walionunua waweza kudakwa kirahisi tu wakaisaidia polisi kuwapata waliowauzia
Labda kwa kuanzia mabasi yaanze kusindikizwa tu na Askari mfano wawili tu wenye silaha kwenye maeneo korofi tu na Askari walipwe posho zao na mwenye basi napendekeza kila Askari alipwe posho ya elfu 20 hivyo kwa Askari wawili elfu 40
Ianze kwa majaribio kwanza