Hizo ni nchi zenye utawala bora, kwetu mambo yanaenda yaendavyo. Serikali imetumia fedha kubwa kwenye nida, lakini leo ukienda polisi kitambulisho cha nida hakikidhi kumdhamini mtu mpaka barua ya Mwenyekiti wa Mtaa. Una receipt ya kitanda umenunua, njiani unaulizwa kibali cha maliasili, kana kwamba una mbao au gogo!Mleta uzi ameongea jambo point sana.
Nadhani linapaswa kuangaliwa kwa makini sana suala hilo.
Mfano south yapo maduka kama hayo.
Yanaitwa pawn shops.
Huruhusiwi kuuza au kununuwa chochote bila ID yako na risiti ya kitu husika.
Ili chochote kikitokea basi ni wewe na wao.
Sent using Jamii Forums mobile app